Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Mimi ilinikuta pia. Kwanza siku hiyo inaanza nilimcheka sana jamaa yangu kwa kumlilia demu. Jioni nami yakanikuta, nikaona aibu nikaenda kulilia chooni wana wasijue..kumbe ngashtuka wakanifuata kulekule aisee walinicheka sana siku ile. Jamaa wakanambia we ulisema huwezi kulia kisa demu na jana umemcheka mwana.
Toka hapo nikawa nimekua komando kipensi sina wivu wala siumii kiboya.
 
Mbona zipo nyingi tu kwenye maduka ya wauza vitu vya computer mkuu

Halafu umaweka memory card unaiacha inaendelea kurekodi badae unaichomoa unaanza kuangalia kwenye pc au dvd player
Bei gani na haziwezi julikana au zinafanana na hizi za kawaida
 
Mm nilichapiwa nilipofaham nilimtafuta mkewake nikamchapa nikaandika barua ndefu yakusema kua nimemchapa mkeo nikamweleza alama alizozano mkwe nikamwambia nimemchapa marakadhaa nikamwambia vtu nilivomnunua harafu hiyo barua nikapaleka ofisin kwake
Umetisha
 
Kuna ex wangu aliolewa ila siku moja kaja Dar nikaomba mbususu akakubali. Tuko kitandani ndo nikagundua anachati na mchepuko wake.... iliniuma sana kwanini anisaliti mimi mchepuko wake wa kudumu? Hata mapenzi sikufanya hiyo siku.
 
Mtu mzima na akili zake. Mbususu ni yake. Akiamua kwenda kuchapwa huko mimi ni nani mpaka niumie? Acha achapwe huko apate na mayutiai pengine akili zitamkaa sawa ila kuumia sitaumia ng'o!

Na ni nadra sana kuwa na mwanamke wa peke yako hapa duniani. Kuchapiwa utachapiwa tu hata ufanyeje!

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani

Comment BORA SO FAR...#Kuchapiwa hakuepukiki
 
Comment BORA SO FAR...#Kuchapiwa hakuepukiki
Ukibahatisha wa peke yako unashukuru Mungu ila kwa hali ya sasa hii mi naamini kuchapiwa hakuepukiki aisee. Na ukilitambua hili unapunguza stress za kukaa roho juu presha imekupanda eti unachapiwa wakati hata la kufanya huna maana kama mtu ni wa kuchapwa atachapwa tu hata ufanyeje. Nonsense!
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Aisee nimekukubali mwanawane. Hutaki ujinga. Dah huyo mrembo hamkumfumua rinda kweli🤔🤔🤔
 
Ukibahatisha wa peke yako unashukuru Mungu ila kwa hali ya sasa hii mi naamini kuchapiwa hakuepukiki aisee. Na ukilitambua hili unapunguza stress za kukaa roho juu presha imekupanda eti unachapiwa wakati hata la kufanya huna maana kama mtu ni wa kuchapwa atachapwa tu hata ufanyeje. Nonsense!
Tupeanage tuu huo utamu...sii kwa ubaya jamani raha ya dunia ni kushare utam utam.
 
Na jamaa wakati anamchapia mkewe hakuona kama mshikaji wake (mwenye mke) pia Hana makosa mpka aamue kumchapia mke wake na ukizingatia jamaa ni rafiki yake!? sophy27

Kukazana na mtu ambae mko na mahusiano ya karibu iwe baba,mama,mke,mme,kaka,dada,(awe wa mjomba/shangazi) rafiki,jamaa,au ndugu yoyote anaemuhusu.
Aisee acha na usiruhusu hata kama umepewa ruhusa na mmoja wao
Kusipotokea ugomvi na makwazo ya kujirudia
itakuja dharau na ikiwezekana mahusiano ya ww na jamaa yko kufa kifo Cha mende.
Uhuru hautakuwepo tena,Kuna ka namna flani hv ya kitu kitakuwa kinakusuta.

Huwa nasema hv; Ukishindwa KUSAMEHE na kupuuza Ww LIPA KISASI Pale inapobidi
Tena kadiri vile upendavyo mpaka uisuuze nafsi yako
Achana kukaa na vinyongo kisa mtu Fulani ambae ww umeamua kumfanya awe sehemu ya furaha Yako.
Word.
 
Back
Top Bottom