Na jamaa wakati anamchapia mkewe hakuona kama mshikaji wake (mwenye mke) pia Hana makosa mpka aamue kumchapia mke wake na ukizingatia jamaa ni rafiki yake!?
sophy27
Kukazana na mtu ambae mko na mahusiano ya karibu iwe baba,mama,mke,mme,kaka,dada,(awe wa mjomba/shangazi) rafiki,jamaa,au ndugu yoyote anaemuhusu.
Aisee acha na usiruhusu hata kama umepewa ruhusa na mmoja wao
Kusipotokea ugomvi na makwazo ya kujirudia
itakuja dharau na ikiwezekana mahusiano ya ww na jamaa yko kufa kifo Cha mende.
Uhuru hautakuwepo tena,Kuna ka namna flani hv ya kitu kitakuwa kinakusuta.
Huwa nasema hv; Ukishindwa KUSAMEHE na kupuuza Ww LIPA KISASI Pale inapobidi
Tena kadiri vile upendavyo mpaka uisuuze nafsi yako
Achana kukaa na vinyongo kisa mtu Fulani ambae ww umeamua kumfanya awe sehemu ya furaha Yako.