Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Hata Mimi napiga wake za watu .

Kwahiyo Mkuu mkeo hajawah Tena kanyaga kwao.

Hapo ulimuweza maana hapo akiwaza Ndoa , akiwaza alikukosea, anajikuta Kwao hakanyagi .

Mkeo ni mzuri yaan akajaa mapaja, makalio na sura nzuri??
Tulielewana masharti magumu mno tulishakua na ukoo wetu huyu mke wangu ukoo wao ni kwetu na haijui simu inafananeje huu ni mwaka wa tatu

huko kwao tulisha futa kabisa haiwezekani umeenda msbani afu ufanye jambo baya namna ile yaani anajuta mpaka leo kutombw afu ananitumia meseji na jamaa na kunikebehi

Alishabadilika pakubwa sana hata kama anachapwa ni sio sana
 
Mwanamke aki-cheat the only solution ni kumuacha.

Usipomuacha:
• Atajua hata akichepuka tena hauwezi kumfanya chochote
• Atajua anakumudu
• Zaidi, atakuona boya

Dawa ya mwanamke anayekusaliti ni kuachana naye.

By the way; mpaka mwanamke anakusaliti siyo kitendo cha bahati mbaya.

Wanawake hawa-cheat kwa bahati mbaya kama wanaume.

Akikusaliti ujue ameshafanya risk assessment akawa tayari kwa lolote.

Kamwe usimsamehe mwanamke anaye-cheat.
Kamwe usimsamehe mwanamke anaechit hata uwekewe kisu shingoni

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke aki-cheat the only solution ni kumuacha.

Usipomuacha:
• Atajua hata akichepuka tena hauwezi kumfanya chochote
• Atajua anakumudu
• Zaidi, atakuona boya

Dawa ya mwanamke anayekusaliti ni kuachana naye.

By the way; mpaka mwanamke anakusaliti siyo kitendo cha bahati mbaya. Wanawake hawa-cheat kwa bahati mbaya kama wanaume.

Akikusaliti ujue ameshafanya risk assessment akawa tayari kwa lolote.

Kamwe usimsamehe mwanamke anaye-cheat.
Yes, Mwanamke akicheat, ni UMUACHE.

Hamna namna nyingine ya kulisolv, ukimsamehe anaamini anakuwezea .

Sijui kama Mke wa Jamaa haliwi Tena.
 
Tulielewana masharti magumu mno tulishakua na ukoo wetu huyu mke wangu ukoo wao ni kwetu na haijui simu inafananeje huu ni mwaka wa tatu

huko kwao tulisha futa kabisa haiwezekani umeenda msbani afu ufanye jambo baya namna ile yaani anajuta mpaka leo kutombw afu ananitumia meseji na jamaa na kunikebehi

Alishabadilika pakubwa sana hata kama anachapwa ni sio sana
Yaan kukukejeli kama lofaa

Vipi ukiwa unamtomba, ukiingiza Mboo yako kwake, Huwa unajisikiaje??

Unaipiga tuu
 
Mkuu exalioth,
Una moyo mkuu sana. Kisingizio cha kuendelea naye ni nini!!?
• Mna watoto
• Hauwezi kuishi bila yeye
• Hata wewe huwa unachepuka
• Mna ndoa ya Kanisani
Mi nilikua spendi kutoka nnje ya ndoa rakn kwasasa nachepuka vibaya mno natembea na wake za watu tu( picha nnazo)

Tulifunga ndoa za kanisani roman cathoric
(Picha zipo)

Alikua na mtoto mmoja kipindi anatom,,,,,bwa Rakn nilijua hakuna mwanaume asiechapiwa kama aliweza kunisaliti mwanamke wa dizaini hii baasi hayupo asiechapwa hii siri anaijua yeye na mimi tu
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Huu Uzi niliupita au??
 
Yes, Mwanamke akicheat, ni UMUACHE.

Hamna namna nyingine ya kulisolv, ukimsamehe anaamini anakuwezea .

Sijui kama Mke wa Jamaa haliwi Tena.
Uwezekano ni mkubwa.

Halafu usiamini neno wala chozi la mwanamke anaye-cheat... Huo ni uongo.

Hata kama ni wewe ukikamatwa lazima ujishushe na uoneshe kila dalili za kujutia.

Ila mwanamke aliyeamua ku-cheat, akaendelea kuwasiliana na huyo mwanaume mpaka ulipowakamata, halafu anajiliza unamuamini!

Eti kisa ameacha kutumia simu! 😬

Ukimkamata usimsikilize, second her.

Msijekusema hatukuwaambia. 😂
 
Mi nilikua spendi kutoka nnje ya ndoa rakn kwasasa nachepuka vibaya mno natembea na wake za watu tu( picha nnazo)

Tulifunga ndoa za kanisani roman cathoric
(Picha zipo)

Alikua na mtoto mmoja kipindi anatom,,,,,bwa Rakn nilijua hakuna mwanaume asiechapiwa kama aliweza kunisaliti mwanamke wa dizaini hii baasi hayupo asiechapwa hii siri anaijua yeye na mimi tu
Oyaaa hongera ,huyo endelea kumfanya ivoivo.

Hamna kutumia simu, hataki asepe.
 
Yaan kukukejeli kama lofaa

Vipi ukiwa unamtomba, ukiingiza Mboo yako kwake, Huwa unajisikiaje??

Unaipiga tuu
Yaan mim Kama ndo huyo jamaa aliesamehe yaan mboo kuingiza ukeni kwake nahis italala kwanza haitasimama kabisa maana akilini itakumbuka humu. Sialitombwa na mwingne inalala hapo hapo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Uwezekano ni mkubwa.

Halafu usiamini neno wala chozi la mwanamke anaye-cheat... Huo ni uongo.

Hata kama ni wewe ukikamatwa lazima ujishushe na uoneshe kila dalili za kujutia.

Ila mwanamke aliyeamua ku-cheat, akaendelea kuwasiliana na huyo mwanaume mpaka ulipowakamata, halafu anajiliza unamuamini!

Eti kisa ameacha kutumia simu! 😬

Ukimkamata usimsikilize, second her.

Msijekusema hatukuwaambia. 😂
USIAMINI CHOZI LA MWANAMKE ..KILIO CHA MWANAMKE HUWA NI UNAFIKI MKUBWA.

Ila jamaa naona alifanya hatua Kadhaa muhimu
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Mwanamke ha-cheat kwa bahati mbaya.

Anakuwa ameshafanya assessment kwa muda mrefu mpaka mwisho anaamua ku-cheat.

Huwa hawajutii kwa chochote. Una bahati wa kwako aliamua kuwa muwazi.

Angekuwa mwingine bado angekuigizia kujutia, akakuomba msamaha na machozi juu. 😂

Dawa ya mwanamke anayeku-cheat achana naye.
 
Mi nilikua spendi kutoka nnje ya ndoa rakn kwasasa nachepuka vibaya mno natembea na wake za watu tu( picha nnazo)

Tulifunga ndoa za kanisani roman cathoric
(Picha zipo)

Alikua na mtoto mmoja kipindi anatom,,,,,bwa Rakn nilijua hakuna mwanaume asiechapiwa kama aliweza kunisaliti mwanamke wa dizaini hii baasi hayupo asiechapwa hii siri anaijua yeye na mimi tu
Kabisa.

Ukweli ni kuwa alichapwa na anaendelea kuchapwa.

Hongera kwa kuwa na moyo wa kuvumilia kuishi na mwanamke unayejua kabisa anachapwa.

Wanaume kama wewe mna mioyo ya kipekee sana. 👏
 
Mimi ni mhanga wa kuchapiwa rakn nmejifunza kitu nmepata elim nilipoanza kumchukua mwanamke mmoja mwenye mme jamaa mmoja mwenye nafasi nzuri kwake pia ana kila kitu akipendacho kwake maisha mazur

Hata huyu mama namtafuna anakiri kua ananipa utam bila sababu yoyote kwa maana mmewake anampa kila anachotaka kwa wakati sahihi pia kitandani anawaza sana tu

Rakn nikijaribu kutaka kumuacha huyu dada ananililia sana anasema mamayake alimzuia kutoka nnje ya ndoa anayakumbuka maneno ya mama afu ananilaumu kwanini nataka kumuacha wakat mimi ndie nmemfundisha kutoka nnje

Nimekua mwanaume wa kwanza kutembea nae nnje ya ndoa, mpaka sasa napiga tu tukipata nafasi roho yangu inasuuzika namkopa mpaka na hela

Nimejifunza nimepata elim kuhusu wanawake yaani wanatoka nnje ya ndoa bila sababu za msingi
 
Asante kwa jf humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi...

kisa changu

Nilimuaga ex girlfriend wangu kwamba nimepata safari ya kikazi nitakua nje ya mji kwa muda flani kuna tajiri anataka nimwekee makabati nyumba anayofanyia finishing anyokaribia kuhamia, nilifika huko lakini nilikuta kuna wenzangu wengine kwa hio kazi iliisha mapema , niliwahi kurudi nikiwa nimeshalipwa na tajiri kama laki 3 hivi, nilifika kwangu kuweka begi na kisha nikaanza safari ya kwenda kwa ex wangu, nilifika kwake nilimkuta hayupo, nikaanza safari ya kurudi nikaona wacha nipate chakula lodge flani ya karibu,

wakati nakula wali kuku kwa jeuri ya pesa nilizopata huko kibaruani nikaona kuna gari rav 4 imekuja pale lodge ikapaki sehemu ambayo naweza kuiona, kuna jamaa alishuka akaingia ndani kwenye lodge nadhani alienda kuulizia chumba na kufanya malipo, mda huo nipo kwenye angle ya ku observe mengi, nikaona jamaa katoka nje karibu na mlango wa kuingia lodge katoa simu mfukoni anaitumia, itakuwa alikuwa anatuma mesej, baada ya sekunde chache kuna binti akashuka kwenye rav 4 kisha akaanza kumfata jamaa alipo, , LA HAULA!! Sikuamini macho yangu, alieshuka alikuwa ni dem wangu jamani.

nilipatwa na mshangao kumuona dem wangu japo yeye hakuweza kuniona, kiukweli alikuwa amependeza hio siku alienda saloon, nikawa siamini amini nachokiona, yani dem wangu kaingia lodge na hio njemba, , aaaaahhh!! maumivu makali mno!!

hata msosi ukageuka mchungu, nililipa na kuondoka hapo hapo,,, siwezi kuanzisha varanga kwa demu ambae kwa maamuzi yake kakubali kuliwa..

nilifika gheto nampigia lakini simu inaita tu, hapa nikawa navuta picha game imeiva, huo moto anaopelekewa huko si wa kitoto, niliumia sana kwakweli..

nilienda pharmacy ya karibu kununua sleeping pills (vidonge vya usingizi) maana mawazo yalinisonga sana, nilirudi geto nikagonga vidonge viwili nikajilaza kitandani huku naendelea kuwaza lakini usingizi ukanichukua.

kesho yake naamka kama kawaida ila daah!! nikikumbuka kilichotokea jana yani maumivu tu, nikacheki simu nikaona ex alinipigia kama mara tatu hivi na kuacha mesej kwamba alikuwa kanipigia sipokei, ila muda alionipigia hapo nilicheki ilikuwa ni baada ya masaa mawili na nusu hivi.

nilimwambia aje geto, ile kafika akaanza kujifanya kamaindi sikupokea simu alizopiga akaanza ku act kujifanya alikuwa kapatwa wasi wasi kudhani labda nilipatwa na tatizo, hapo hapo akaanza kujifanya anajichekesha kufurahi nimewahi kurudi na kanimisi sana, mimi namchora tu.

nikaanza kumpiga maswali pale moja kwa moja kwamba jana alieshuka nae kwenye rav 4 ni nani,, akaanza kama kujistukia hivi akawa anakazia kwamba alikuwa kwake labda nimemfananisha,,, nilimnasa kibao taaa!!! cha nguvu ili ajue nipo seriois,, akaanza kulia, nilimkazia ajibu swali hayo machozi yake hata ajaze ndoo nahitaji majibu, akawa anaendelea ubishi kusingizia namuonea na kwamba sio yeye, nilimnasa tena vibao vingine viwili vya nguvu zaidi na vilisikika aisee... akaanza kukiri kweli ni yeye na kuniomba msamaha kwamba hatarudia, haikuwa nia yake, bla bla bla,,,,, nilifungua mlango nikamwambia its over!, hatuwezi kuendelea ....

Ilikuwa shughuli nyingine kuanza kumtoa, alipiga sana magoti kuniomba msamaha, namuinua asimame yeye anapiga magoti na kunukamata miguu, ilibidi nguvu ya ziada itumike sambamba na vibao vitatu vya zaida, alijifuta futa machozi, nikamtoa mpaka getini nikafunga geti nikarudi chumbani kwangu, uzuri siku hio nilikuwa mpangaji peke yangu niliebaki.

nilikuwa na maumivu mengi moyoni lakini kwenda kazini na mazoezi kulisaidia kimtindo, sikutaka kujifungia ndani,,,maumivu yalikuwepo pindi muda wa kulala ukifika nikianza kuwaza nilivyochapiwa, daaah!! yani nikaanza kuwaza jinsi ex alivyokuwa anapelekewa moto kuna siku nilitoa chozi kama mtoto mdogo. hali hii ilidumu kwa wiki hivi ila baada ya hapo niliweza kupata nguvu ya ku-move on mdogo mdogo.

baada ya miezi miwili niliweza kujitosa upya kuanza mahusiani mapya, mahusiano mapya yalinisaidia kwa kiasi kikubwa kupooza maumivu na hatimae nikasahau kabisa.

KISASI::

Kwa sasa huyo jamaa alienichapia ndie aliemuoa ex wangu lakini cha ajabu mpaka leo ex wangu ni kama analazimisha mawasiliano, huwa hapitwi kunitumia mesej za pasaka njema, idi njema, n.k. ila namjua kabisa anachotaka ni ukaribu tu, kuna siku nilikutana nae nikampanga twende kwangu alikubali kabisa na nilipanga nimtafune nilipize kisasi kwa huyo jamaa alienichapia na hata nipige picha au video nimtumie ili nae aumie lakini nafsi ilisita, nilahirisha na kumwambia ex lakini ajabu yeye alijaribu kunibembeleza twende akijua kabisa kinachoweza kutokea lakini nilisimamia msimamo wangu nikazuga tutapanga siku nyingine,,, ni kwamba huyu ex mda wowote nikimtaka anaweza kunipa mzigo lakini sioni ambacho ntafaidika nacho, nimekubali yaishe tu maisha yaendelee.
Huo ndio uanaume!
 
Back
Top Bottom