Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
[emoji23][emoji23] ukileta ujuaji unatimuliwa home au sio
 
M....h popote ulipo Ahsante kwa maumivu yale![emoji1316]
Baada ya girlfriend wangu wa kwanza kabisa kunizingua baada ya kuanza tu chuo dsm ....nkajikuta nmekamatika kwa mtoto wa ki hislam
Baby face,msafi +yale mavazi yao ya kujistill
Mtoto wa watu nkaingia mazima...
Kweli nlimpenda..
Ingawa alikua na matatizo kiasi ya Afya ila bado sikuacha kumpenda...
Wakati huo me nmemaliza corse tayari...yeye alikua mwaka wa mwisho kumaliza
Hivyo nlimuacha chuon hapo

Ikafika kipindi cha field wakati wanamalizia masomo...akapata dsm yeye na mama rafiki yake
Rafiki yake hakua na ndugu dar,hivyo aliomba kwenda kuishi na huyo girlfriend wangu kwa ndugu yao na girlfriend wangu

Siku kabla ya kuondoka tukakutana night nkaonana nae nkamuaga...Ingawa moyo ulikua unauma saaana!
Wakafika dar na wakaanza field kama ilivyopangwa

Kumbe kuna mjuba walikua wanachart Facebook kwa kipindi kirefu tu(hope ndio aliwaunganishia ile taasisi)
Kufupisha story ni kua bidada aliliwa aloo
Nlikuja kujua baada ya kudukua password zake za mtandao

Dear future wife
Usije ukaniambia mwanaume furani ni rafiki yako
Ntakuuuuwaaa
[emoji16]
 
Bàdo ninamaumivu rafiki yangu best tuna miaka 13 ya urafiki,. Katembea na mume wangu mmenitonesha kidonda
Pole sana, kitu kinachowaponza wanawake wengi mnapokuwa wenyewe huwa mnatabia ya kujisifia waume zenu kwa marafiki zenu jinsi wanavyowapenda n.k...hamjui hao marafiki zenu wanapitia hali gani ndani ya mahusiano yao/ndoa zao. Matokeo yake anaona ngoja na yeye afaidi hayo unayofaidi wewe, ni wanaume wachache sana watakaowaeza kukutaa kutembea na rafiki wa mke wake.
 
Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
Mzee ni bonge la gansta. I wish niwe na mzee wa namna hyo. Unyama sana.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
M....h popote ulipo Ahsante kwa maumivu yale![emoji1316]
Baada ya girlfriend wangu wa kwanza kabisa kunizingua baada ya kuanza tu chuo dsm ....nkajikuta nmekamatika kwa mtoto wa ki hislam
Baby face,msafi +yale mavazi yao ya kujistill
Mtoto wa watu nkaingia mazima...
Kweli nlimpenda..
Ingawa alikua na matatizo kiasi ya Afya ila bado sikuacha kumpenda...
Wakati huo me nmemaliza corse tayari...yeye alikua mwaka wa mwisho kumaliza
Hivyo nlimuacha chuon hapo

Ikafika kipindi cha field wakati wanamalizia masomo...akapata dsm yeye na mama rafiki yake
Rafiki yake hakua na ndugu dar,hivyo aliomba kwenda kuishi na huyo girlfriend wangu kwa ndugu yao na girlfriend wangu

Siku kabla ya kuondoka tukakutana night nkaonana nae nkamuaga...Ingawa moyo ulikua unauma saaana!
Wakafika dar na wakaanza field kama ilivyopangwa

Kumbe kuna mjuba walikua wanachart Facebook kwa kipindi kirefu tu(hope ndio aliwaunganishia ile taasisi)
Kufupisha story ni kua bidada aliliwa aloo
Nlikuja kujua baada ya kudukua password zake za mtandao

Dear future wife
Usije ukaniambia mwanaume furani ni rafiki yako
Ntakuuuuwaaa
Bff hatukosi mkuu otherwise umba wa kwako peke yako [emoji28]
 
ila ni raha kinoma ukichapiwa alafu na wewe ukaja kuchapia mtu, unajihisi kama mzani umekaa sawa hivi... Me nilichapiwa nikapiga chini, nikaja nikamchapa workmate wa ex ambae nae alikuwa na jamaa'ake nikaridhika.... Tena nimechapa leo baada ya week akafunga ndoa Mungu anisamehe maana sikujua kama jamaa yupo serious na ile pisi kiasi kile so, baada ya pale niliamua kila kitu kiishie palepale.
 
Ndio Maana mimi natembeza fito kwa wake za watu mwanzo mwisho sababu ya kuchapiwa

NILIVYOCHAPIWA !!

Kipindi namuoa mkewangu tulijikumbusha ya utotoni mi nikamsimulia yakwangu yeye akaniambia jinsi alivoanza kufanya mapenzi na akaniambia jamaa aliemtoa bikra na tayari jamaa alishaoa kiukweli niliumia sana kusimliwa hivyo rakini kwakua ilikua simulizi niliyazoea maumivu yakapita

Basi mwaka 2019 Mkewangu kulitokea msiba kwao akaenda baasi akiwa huko msbani niliona kuna namba ilinitumia meseji ya (nitumie pesa) nikajua atakua mkewangu nikiipiga haipokelewi hiyo namba basi nikakaushia

Baada ya siku alirudi mama watoto wangu akaanzisha stor anasema et nilipokua nyumbani nlicheka kaka wa baba mkubwa alikutumia meseji ya kukuomba hela ukaanza kumpigia kila mara tukacheka pale yakaisha

Tumekaa kama wiki mbili simu ya mkewangu haikatiki kukaa mikononi nikajua hapa kuna kitu hakiko sawa alienda kuoga nikaichukua simu nikaikuta ile namba aliokua anadai ni yakakaake wa baba mkubwa ni jamaa ananitafunia mkewangu

MESEJI NILIZOKUTA ZINASEMA

1.Mpenzi wangu tangia nikupasue bkra pale kwenye boma la nyumba uliniroga nakukumbuka mpaka leo

2.Kumbe bado unautamu uleule wala ujabadilika

Yaani kfupi mkewangu amet**mwba sana na jamaa alivoenda msbani huko nilimbana alikiri kutembea na jamaa aliemtoaga bikra kipindi cha uschana niliumia maumivu ambayo yalikua yananifanya nishinde na njaa kila wakati ilinichukua miez mitatu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tulielewana kua hakuna kukanyaga kwao kama atashindwa tuachane basi akaniomba msamaha ilikua kesi kubwa sana yaliisha maisha yanaendelea

Bora niliejua nachapiwa kuna ambao hawajui kuna mambo makubwa sana wanafanyiwa wake zao mimi binafsi siwez kutongoza mschana napiga wake za watu tu
We jamaa[emoji1787][emoji1787]
 
Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
Daaah [emoji28][emoji28]
 
Acheni ufala kama hukumkuta bikra wivu wa Nini kudadeki ....love partial
Mimi manzi angu Nilimkuta bikra she deserve better but siwaamini AWA viumbe japo nampenda Ila tu simwamini as akfanya nkajua ntaumia coz I like her not bcoz nlimwamini..maumivu ya kuamini + kupenda Ni makubwa kuliko maumivu ya kupenda bila kuamini wakuu..
 
Back
Top Bottom