Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hawa nao, yaani mkosani maishani kisa mbususu loh. Mwishowe watakuja kuuana bure.Mkuu inauma sana. Ila cha muhimu ni kujua mademu zetu wanachapwa nje. Imagine mtu kama Will Smith na ule u-handsome plus maokoto bado anachapiwa je, sisi? Waliooa wana shughuli pevu. Kuna mtu na kakake hawatakaa wapatane maishani kwa sababu ya mdogo mtu kumchapa mke wa kaka. Yaani suluhu zote zimeshindikana toka miaka ya 90 hadi leo.