Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Mkuu inauma sana. Ila cha muhimu ni kujua mademu zetu wanachapwa nje. Imagine mtu kama Will Smith na ule u-handsome plus maokoto bado anachapiwa je, sisi? Waliooa wana shughuli pevu. Kuna mtu na kakake hawatakaa wapatane maishani kwa sababu ya mdogo mtu kumchapa mke wa kaka. Yaani suluhu zote zimeshindikana toka miaka ya 90 hadi leo.
Hawa nao, yaani mkosani maishani kisa mbususu loh. Mwishowe watakuja kuuana bure.
 
Kuna jamaa alinichapia mwanamke wangu ambae nilikua nampenda sana mbaya zaidi alimfanya kitu ambayo mpaka akawa ameharibu mfumo wa uzazi wa binti... Sasa siku nikitia mguu mkoa anaokaa jamaa hakuna rangi ataacha kuitambua machoni mwake kutoka kwangu... He must regret that worse fuqn karma...
Pole mkuu alifumua exost nn??
 
Mimi nilichapiwa nilipofahamu nilimtafuta mke wake nikamchapa nikaandika barua ndefu ya kusema kuwa nimemchapa mkeo nikamweleza alama alizozano mkewe nikamwambia nimemchapa mara kadhaa nikamwambia vitu nilivomnunua theb hiyo barua nikapaleka ofisini kwake.
huu ni uongo tu sema unachangamsha baraza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_2591.jpg
 
Back
Top Bottom