mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nakumbuka theme song kidogo hadi leoHii cartoon nilikuwa nasahau hadi kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakumbuka theme song kidogo hadi leoHii cartoon nilikuwa nasahau hadi kula
Tumewinda sana dogo.... Jirani yetu alikuwa Mzee mmoja anaitwa Makorere.... Ndio alikuwa Meneja kiwanda Cha Urafiki... Nimewimda sana Ubungo jeshini Kambi ya anga niia ya ya Kwa Mzee Ndumbiko, ,makoka ... Mto Gide tumeogelea sana ... Pale zilipo Hostel za Mabibo lilikuwa dampo ...tumecheza sana mule Soka.. na kipindi hicho nilikuwa natumikia KIGANGO CHA MAKUBURI (Nilipatia komunio )...Leo mi parokia ya ANUARITE... Wazazi wakahamia Yombo kiwalani...nikaanza kutumikia Parokia ya Mt.Kamili, nikawa mkufunzi..nikanzisha Kanisa Yombo Dovya, Buza, Kitunda... Asee.. Tumezeeka... Naamini katika Mungu... Katika Imani zote....Wakishua uzi wenu huu.
SISI WENGINE UDOGON TULIKUWA TUNAWINDA NDEGE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Galactik Football umeisahau?Halafu nyingine nyingine ni;
regular show
View attachment 2869119
adventure time
View attachment 2869122
the amazing world of gumball
View attachment 2869124
batman: the brave and the bold
View attachment 2869127
teenage mutant ninja turtles
View attachment 2869129
Avatar zote
View attachment 2869131
kungfu panda; legends of awesomeness
View attachment 2869133
danny phantom
View attachment 2869136
gravity falls
View attachment 2869140
supa strikas
View attachment 2869141
dragon ball z
View attachment 2869142
Sema regular show, adventure time, gravity falls sidhani kama ni za watoto kivile
Antena zile za "Mifupa ya Samaki" ... Tunatumia aluminum.... Nyieeeee... aseee... Leo nafukuzana na mapamba,makahawa,tumbaku, chai... Nyieeeee..... Ila niwashukuru Walimu.... Watoto wangu wanajaza choo...kuipata C2C ilikuwa sio mchezo searching yake uipate bila chenga na antena iwe vizuri....
nakumbuka mimi nilikuwa mtaalamu wa kurekebisha antena kwa channel zenye chenga na nilikuwa mtaalamu wa kusearch channel mpya za zanzibar. hahahah
ilikua noma nayoGalactik Football umeisahau?
Animation ni animesheni na cartoon ni katuniutofauti wa animation na cartoon ni nini
We kweli unajua katuniKweli umri umeenda, niliacha kuangalia katuni mwaka 2006 January kipindi hicho ndio Ben 10 imeanza kubamba.
Tom and Jerry, Bugs Bunny, Porky Pig, Duddy duck nimeziangalia na kuzirudia mara kibao, sidhani kama kuna episode siijui, hizi hata ukiangalia na mtu asiejua kiingereza zinaeleweka.
The last air bender - Battle za earth nation, fire nation, water nation zina mvuto wa kipekee, mimi ninaamini hadi leo earth nation ndio walikuwa wababe, the last air bender mizimu ikimpanda anakichafua sio kitoto.
Megas xlr - coop anacontrol mtambo wake kama Miso Misondo anavyozifanya deki zake za uDJ
Courage the cowardly dog - Mama Miorio yupo peace sana ila Dingi ystace kauzu na mjuaji, Courage anawasaidia sana
Scooby dooby doo - fred na Daphny hivi hawakuoana tu mpaka leo ?
Powerpuff girls - Blosom na Buttercap walikalishwa na Princess, Dada yao Blossom ndie alietoa fundisho.
Ed, Edd and Eddy - Kina Edd na Eddy akili zipo loose huwa nahisi Ed akijikuta kwenye kampani mbaya.
Samurai Jack - Kuna wawindaji wanaitwa Imakandi way walimpa taabu sana Samurai Jack.
Flinstones - Yaba daba dooo !! Barney na ufupi wake ule alikuwa ananichekesha sana wakigombana na Fred
Jetsons - Ni kinyume cha flinstones, hawa wapo future, kuna mashine moaka za kusaidia homework
Dexters lab - Yani dada yake dexter asione kitufe chekundu lazima akiminye,
Stop the pigeon na wacky races - Murty alikuwa anamkomoa sana master wake juu kwa juu.
Johny Bravo - Bonge la mwili lakini mdomo mzito
Top Cat - 🎵🎶🎼 He's the boss, he's VIP, he's a championship. He's the most tiptop, Top Cat.
Kipindi hicho kulikuwa na ITV,DTV, C2C Na TVZ....Hahah kweli we makamo... zilkuwa znaoneshwa channel gan Hzi?
Wale wajamaa jau sana🤣🤣🤣Umesahau Ed, Edd n Eddy