Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Stolen moments ni nzuri sana sikuelewa tu pale mwishoni, stephani alikufa? Maana alipigwa risasi.?
 
La mujer akina barbSearita natamani kuiona tena enzi hzo nlikuwa o level,miaka inaenda kweli
sema ITV wamezubaa sana,hivi mpaka Leo bado wanahangaika Nazo kina alijandro wakati huu ni msimu wa waturiki ,Star TV nao wafilipino miaka nenda rudi
 
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Kweli mkuu Jumong ni moto naona ITV wanairudia tena
 
Mimi kwa hizi za mexico kuna moja El curpo del deseo aisee nilitokea kuielewa balsa niliipenda mno Aliyeigiza kama Issabela Arroyo alishafariki kiukwelikweli nadhani ni kansa .
 
Mpaka leo naitafuta La Revancha sijaipata,TV series bora ya wakati wote. Rodrigo Arciniega, Alejandro Arciniega, Isabela Ruiz, Solidad Santander, Emparatriz, Reinaldo Arciniega, Sabas, Kike Arciniega nk
 
Kuna viepisode youtube. Ukipata tafadhali naomba link
 
Back
Top Bottom