Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Kuna moja nadhani ni ya mexico...

Yule tall(mzimu) kwenye the second chance..alikuwa anaishi kwenye kisiwa kimoja na adui yake!

Nimesahau jina .
Naitafuta sana
 
The gardener's daghuter,passion,la revancha,Rebecca,Todo sobre Camila, The promise( Tbcccc Enzi hizo),lamujer de mivida,lamujer de Lorenzo,Acapulco bay,sunset beach,Egoli, duhhh haziishi kiukweli..
 
Natamani kurudia hiyo La revancha lakini YouTube ipo kwa lugha yao nimekwama.
 
Back
Top Bottom