Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Asalam aleykum
Shalom shalom
Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya;
1. Hoja mchanganyiko
2. International forum
3. Jukwaa la siasa
Basi utabaini uwepo wa wahayudi na waarabu kutokea katika pande mbalimbali za Tanzania ambao Wana misimamo mikali uko nyuma ya keyboard
Hivo Kwa kuzingatia hili nimeona nianzishe Battlefield ya wazi mpigane spana humu bila buguza katika mada mbalimbali mtazoamua kunyukana Kwa muda huo
Setfree gallow bird Komeo Lachuma Mlaleo Echolima Mbaga Jr Covax Lucha Frank Wanjiru kimsboy FaizaFoxy MK254 adriz Kosugi Webabu nk