Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Jul 3, 2025 #1 Asalam aleykum Shalom shalom Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya; 1. Hoja mchanganyiko 2. International forum 3. Jukwaa la siasa Basi utabaini uwepo wa wahayudi na waarabu kutokea katika pande mbalimbali za Tanzania ambao Wana misimamo mikali uko nyuma ya keyboard Hivo Kwa kuzingatia hili nimeona nianzishe Battlefield ya wazi mpigane spana humu bila buguza katika mada mbalimbali mtazoamua kunyukana Kwa muda huo Setfree gallow bird Komeo Lachuma Mlaleo Echolima Mbaga Jr Covax Lucha Frank Wanjiru kimsboy FaizaFoxy MK254 adriz Kosugi Webabu nk
Asalam aleykum Shalom shalom Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya; 1. Hoja mchanganyiko 2. International forum 3. Jukwaa la siasa Basi utabaini uwepo wa wahayudi na waarabu kutokea katika pande mbalimbali za Tanzania ambao Wana misimamo mikali uko nyuma ya keyboard Hivo Kwa kuzingatia hili nimeona nianzishe Battlefield ya wazi mpigane spana humu bila buguza katika mada mbalimbali mtazoamua kunyukana Kwa muda huo Setfree gallow bird Komeo Lachuma Mlaleo Echolima Mbaga Jr Covax Lucha Frank Wanjiru kimsboy FaizaFoxy MK254 adriz Kosugi Webabu nk
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Jul 23, 2025 #2 Ngoja waje