Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Karibu sana Lushoto, moja Kati ya maeneo mazuri ya kuishi japokuwa mzunguko wa hela sio mkubwa.
 
Siku moja nitamiliki makazi ya kuishi kwenye milima ya Tukuyu.

InshaAllah. Ameen.



I love Tukuyu, Moshi milimani, Morogoro Milimani, Muleba, Kamachumu, Karagwe, Singida kule kwenye lile Ziwa, Lindi, Lushoto, njia ya airport Arusha, Misitu ya Kisesa Mwanza, Milima ya mawe ya Capri Point na Isamilo Mwanza, Visiwa vya Ukerewe, kuelekea mashamba ya maua Arusha.

Tanganyika imebarikiwa kwa mandhari Nzuri sana MaashaAllah.

.
 
God blessed much our land Tanzania
 
Karibu sana Lushoto, moja Kati ya maeneo mazuri ya kuishi japokuwa mzunguko wa hela sio mkubwa.
Yes mkuu Lushoto ipo safi,wale wabunge 3 ningetaka kuwachapa bakora, why hawaitengenezi ila barabara ya Mombo to Mlalo?,why wasijenge cable cars ili kuvutia utalii na kutoa ajira kwa vijana?,Capetown umaarufu wao ni utalii, na wanajivunia table mountain na ile cable car yao, sasa Lushoto kuna matable mountains ⛰️ kibao, jenga cable cars, zinakutoa milimani kule hadi mombo, watalii waukesha kwa miavuli etc etc, jenga view points nzuri zenye hiking tracks, hizi zote ni opportunities kwa wilaya na vijana kujiajiri wenyewe, aliyetuloga ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…