Wao wanasema pesa zipo. CCM hawaaminiki lakini, wakati UDA anapewa KISENA nakumbuka Mayor Mwita wa Chadema, kipindi hicho aligomea swala hilo mpaka akazuiliwa kuingia ofisini na Makonda pia Magufuli. Eti juzi Kisena Kahukumiwa kufungwa sijui miaka mitatu kwa kulisababishia shirika hasara.Okay mkuu,nchi kwa sasa HAINA PESA, ila tuna mapesa ya kununua V8s kwa CEOs kwa well connected guy's, nani owner wa UDA na Nyati cross border transporters?
Wanajuana wao, tuwaachie labda hayatuhusu.