Mahotera
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 729
- 1,847
Umeamua Mkuu, hayo ni matusi ya rejareja.Utalii wa Ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua Mkuu, hayo ni matusi ya rejareja.Utalii wa Ngono
Kuzuri sana napoKaribu sana Lushoto, moja Kati ya maeneo mazuri ya kuishi japokuwa mzunguko wa hela sio mkubwa.
Tumuulize yule mdada aliyemtoroka mumewe ambae ni tajiri, ila ujue ndege wazuri hawafugiki.Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.
Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................
Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Yes mkuu ukijenga vema wageni watakuja kulala, pale Lushoto nilishuhudia Geust House kwa nite rate yao almost 300,000.00na ilikua full booked!,ni ele inayosemekana ni mali ya Mr.CleanKama unataka sehemu nzuri ya kuretire mkoa wa Mbeya wilaya ya rungwe makao makuu Tukuyu ni the best place.
Hoteli Kali ya kitalii ipo landamark ya ubungo Wana hotel Kali ya ghorofa tatu au nne tukuyu bomani.
NJombe, Iringa, morogoro, Kagera na KilimanjaroMbeya is the most blessed land in Tanzania 🇹🇿
😘😃Kumbe tupo wengi
KusauziiiHahahahaha, Tukuyuuuuuuu!
Vyote ulivyo itaja cNilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.
Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................
Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Mkuu dreamland yangu ni huko. Nataman niishi huko naomba unipe range ya bei za viwanja huko mjini na pembeni ya mji kama utakua unafaham nijidundulizeKaribu sana Lushoto, moja Kati ya maeneo mazuri ya kuishi japokuwa mzunguko wa hela sio mkubwa.
Hapo kama Kiwira hivi...hyo njia kwa mwaka lazima nipite mara moja kwenda borderMkeka wa Mbeya-Tukuyu ni moja ya mikeka imara sana ndani ya mipaka ya Tanzania.
View attachment 2886204
View attachment 2886205
Dharau kutoka nje mpaka master bed room ngoja mwakyusa aingilie katiDharau mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utani mkuu
Hayo makanisa yao yangekuwa shule wangeisha fika mwezini!Tukuyu ni green mwaka mzima hawajui vumbi,maji utiririka mwaka mzima.
Wanyakyusa wao na dini tu wamestaaraabika hawana mambo ya kishenzi.
Kama uko Switzerland vile!Kikiumana ...Hali inakuwa hivi ...ukungu heavyweight [emoji1][emoji1]
3 meter hamuonaniView attachment 2886814
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app