Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Mwakaleli β„οΈπŸŒ‘οΈπŸžοΈβ˜”πŸŒ¦οΈπŸ‚πŸ”πŸŒπŸ₯•πŸŒ½πŸ₯¬πŸ“πŸ₯‘πŸ₯œ
 
Miaka yote ya nyuma, wilaya ya Rungwe ndiyo ilikuwa inaongoza kufaulisha zaidi wanafunzi nchini Tanzania. Inasemekana watu fulani wakawa hawafurahii kabisa.

Take this to the bank.
Sio kweli hakuna halmashauri ya wilaya yenye historia ya kuizidi Moshi Vijijini kwa ufaulu wa wanafunzi pamoja na kubanwa kwingi.
 
Nilifika tukuyu nikapelekwa rabbit farm na mwenyeji wangu.What an experience,kwa kweli ni mahali pazuri sana pa kuishi kama una chanzo cha Mapato au mwajiriwa.
 
U
πŸ₯΄πŸ€£

Marangu, na maeneo ya milimani Moshi ni habari nyingine maji mengi na safi tena matamu sana, waterfalls za kutosha, kijani kibichi na hali ya hewa nzuri ndio maana ni sehemu ambayo wamisionari walifika kwa wingi zaidi ya sehemu nyingine yoyote hapa Tanganyika
Tanzania nzuri jamani
 
Mada safi shukraani mtoa mada ila Tia nyama zaidi, maana Nami nilibahatika kufika Lushoto last December yooooo it knick my socks out, Tukuyu nilifika huko miaka mingi iliyopita,kwenye michezo ya vyuo vya ualimu kanda ya nyanda za juu,kwa sasa utanifanya mkuu nifanye detour kule, ahsante sana
Lushoto ni next level
 
Back
Top Bottom