Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #161
Ukija Tukuyu mkuu kukutoa labda wake na Greda.Sisi wa kanda ya kati hiyo hali ya hewa tunajionea mashikolo 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukija Tukuyu mkuu kukutoa labda wake na Greda.Sisi wa kanda ya kati hiyo hali ya hewa tunajionea mashikolo 😅
Visit TukuyuOhh asante, now nimefahamu.
Hakika 😅 Asante kunikaribisha.Ukija Tukuyu mkuu kukutoa labda wake na Greda.
Nitatembelea Lushoto one dayLushoto ni next level
Tanzania ni nzuri baadhi ya sehemu. hebu just imagine upo huko tukuyu halafu ghafla unapata uhamisho unapelekwa mbagala dar?U
Tanzania nzuri jamani
Unakonda ghafla kwa stress.Tanzania ni nzuri baadhi ya sehemu. hebu just imagine upo huko tukuyu halafu ghafla unapata uhamisho unapelekwa mbagala dar?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Zinaitwa mwamnyilaHivi zile ndizi zenye rangi ya purple bado zipo hapo Tukuyu?,ni muda mrefu sijaziona hizi ndizi ,ni ndizi nene hivi na zinaliwa zikiwa mbivu
Vijana wa mbwanji( mbwax) kumbe mpo hapaKuna muda vumbi linakuwepo vizuri tu,enzi hizo tunatoroka rungwe boys tunaenda mnadan kiwila,halafu Kuna utofauti mkubwa sana wa wanyakyusa wa tukuyu na kyela
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Rungwe the champion,Miaka yote ya nyuma, wilaya ya Rungwe ndiyo ilikuwa inaongoza kufaulisha zaidi wanafunzi nchini Tanzania. Inasemekana watu fulani wakawa hawafurahii kabisa.
Take this to the bank.
Shule ya ajabu Ile .....no strict supervision...lkn wanafunzi ikifika time Pepa wanakiwasha sanaRungwe the champion,
Sasa hivi naona shule ya Rungwe matokeo si mabaya sana
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Thanks mkuu,zinapatikana wapi?,nazitafuta mno, je mbeya mjini ninaweza kuzipataZinaitwa mwamnyila
Utakua unamfahamu mbije yule afisa mifugo mstaafuNilizaliwa Makandana niliondoka huko nikiwa mdogo bado... Nadhani nikiludi mbeya Break ya kwanza ni huko kumbukumbu pekee niliyonayo ni kuwa nilikuwa nakaa sehemu inaitwa Bagamoyo kama sijakosea...
Mkuu kilolo kupoje, naomba maelezo,naifaham Iringa kidogoUmeshafika Ukanda wa Dabaga kule Kilolo. Ile nayo ni Paradise nyingine.
Enzi hizo tupo pale,mnashindia nguo za nyumbani,shule haina uzio,ijumaa vipindi mwisho saa4,ila fanya ufanyavyo mtaan ukikutana tu na mwalimu anajua ww ni mwanafunzi wakeShule ya ajabu Ile .....no strict supervision...lkn wanafunzi ikifika time Pepa wanakiwasha sana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaah mkuu...tunashinda chalamo.....aka chalax[emoji1]Enzi hizo tupo pale,mnashindia nguo za nyumbani,shule haina uzio,ijumaa vipindi mwisho saa4,ila fanya ufanyavyo mtaan ukikutana tu na mwalimu anajua ww ni mwanafunzi wake
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Kweli mkuu,unawakumbuka kina mafreni,mwakatobe,mwakyusa?Yaah mkuu...tunashinda chalamo.....aka chalax[emoji1]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app