Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Miaka yote ya nyuma, wilaya ya Rungwe ndiyo ilikuwa inaongoza kufaulisha zaidi wanafunzi nchini Tanzania. Inasemekana watu fulani wakawa hawafurahii kabisa.

Take this to the bank.
Rungwe the champion,
Sasa hivi naona shule ya Rungwe matokeo si mabaya sana

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni nzuri kama viongoz tunawachagua wangewekeza kwenye miundombinu kwa kuangalia resources zilizop duh tungekuwa mbali kimaendeleo lkn kinyume chake wao wanaiba wanaenda kununua apartment Dubai ama south Africa shame upon them
 
Shule ya ajabu Ile .....no strict supervision...lkn wanafunzi ikifika time Pepa wanakiwasha sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Enzi hizo tupo pale,mnashindia nguo za nyumbani,shule haina uzio,ijumaa vipindi mwisho saa4,ila fanya ufanyavyo mtaan ukikutana tu na mwalimu anajua ww ni mwanafunzi wake

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom