Tule chapati na kitimoto roast

nafungua pm kwajil ako,uje unipe mafunzo ya kusukuma chapat tu hata iwe round,kila nkijarib inatokea raman ya kijijin kwetu.
😂😂Umenikumbusha mbali
Nilikuwa siwez kusukuma round japo zinakuwa laini kuondoa utata nikiweka kwenye sahani nazikunja mara nne watu wasione like duara la pembeni nne😀😀😀
 
😂😂Umenikumbusha mbali
Nilikuwa siwez kusukuma round japo zinakuwa laini kuondoa utata nikiweka kwenye sahani nazikunja mara nne watu wasione like duara la pembeni nne😀😀😀
Mi hadi kesho sijui kuandaa chapat za kusukuma aseee🤣🤣🤣🙌🏾zaid ya za kumimina tu
 
Nilitaka kuuliza jambo kwa mleta mada nikaghairi.
Ila Acha tu nikuulize...wewe ni wakiume au wa like...sorry lakin
 
Kweli wewe ni mlafi, Yani umechoka lakini umepika kitimoto na chapati mpaka zimetokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…