Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
sina uhakika huoKabisa naoa mkwe wangu Mama Mwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina uhakika huoKabisa naoa mkwe wangu Mama Mwana
😂😂Umenikumbusha mbalinafungua pm kwajil ako,uje unipe mafunzo ya kusukuma chapat tu hata iwe round,kila nkijarib inatokea raman ya kijijin kwetu.
Mi hadi kesho sijui kuandaa chapat za kusukuma aseee🤣🤣🤣🙌🏾zaid ya za kumimina tu😂😂Umenikumbusha mbali
Nilikuwa siwez kusukuma round japo zinakuwa laini kuondoa utata nikiweka kwenye sahani nazikunja mara nne watu wasione like duara la pembeni nne😀😀😀
Kwanini 😂sina uhakika huo
unapika chapati, unazikunja kabisa aisee mwanngu utakuja kumzodoa chapsti ngumu kama maisha yangu sitakiKwanini 😂
Ahahah ataishi kifalme sana bhnaunapika chapati, unazikunja kabisa aisee mwanngu utakuja kumzodoa chapsti ngumu kama maisha yangu sitaki
Mchakato mfupi sanaHivi chapati zinapikwaje? Mimi uwa nanunua zilizoandaliwa Tayari
Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Ahahahh ase et mlafi whyKweli wewe ni mlafi, Yani umechoka lakini umepika kitimoto na chapati mpaka zimetokea?
10000 kwa uku kwetuKilo ya kitimoto ni sh ngapi
Ahahahh ase et mlafi why
Hapana kama kila kitu unacho ndani ni vyepesi kabisaKupika Chapati gharama yake ni sawa na kununua chapati 10
Hapana kama kila kitu unacho ndani ni vyepesi kabisa
AsanteHongera
Mtoto wa kiume unakaaje na kisukumio cha chapati?Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Unaweka Amira kama wa maandazi ya ngano?Mchakato mfupi sana
Unga wa ngano
Chumvi
Mafuta ua blueband
then unakanda ngano
HuwekiUnaweka Amira kama wa maandazi ya ngano?