I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Mwanaume bachela na unajua kupika hadi chapati Loh🤔Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Hapana marafiki tu wahapa na paleHee mkuu hizo pm 14 ni za maombi baada ya kupika chapoo ama?🥳
Kuna ubayaMwanaume bachela na unajua kupika hadi chapati Loh🤔
Ungekuwa karibu ningekufundisha kwa wiki mala 2Nimejaribu sana mkuu kila siku natoa kaukau hadi nimesusa sasa nanunua tu😀😀
Aisee mimi hata ka pm 1 hola🙄 ,hongera sana mkuuHapana marafiki tu wahapa na pale
Aisee itabidi tufundishane hata kwa zoom mkuu🙂 2025 ni hadi kieleweke💪Ungekuwa karibu ningekufundisha kwa wiki mala 2
Ahah asante ila unaongopa bhna kwamba kwa siku inaisha pm haijapokea ujumbe?Aisee mimi hata ka pm 1 hola🙄 ,hongera sana mkuu
Karibu sanaAisee itabidi tufundishane hata kwa zoom mkuu🙂 2025 ni hadi kieleweke💪
Acha njaa.Leo nakuunga mkono mkuu🤝🏾
Sikutanii mkuu hata siyo siku 1 ni miezi kabisaAhah asante ila unaongopa bhna kwamba kwa siku inaisha pm haijapokea ujumbe?
Angesukumia ata kwenye jaba, enzi zangu kabla sijao nilitest kupika chapati magetoni na masela tulisukumia kwenye mfuniko wa jaba na chupa ya Pepsi aloo machapati yalikuwa mazito afu mbichi tuliarisha mnoUna hadi kisukumio cha chapati duh
Sema wewe si aujichanganyi sana na watuSikutanii mkuu hata siyo siku 1 ni miezi kabisa
Asa na meza ya chakula hapa why nitumie jabaAngesukumia ata kwenye jaba, enzi zangu kabla sijao nilitest kupika chapati magetoni na masela tulisukumia kwenye mfuniko wa jaba na chupa ya Pepsi aloo machapati yalikuwa mazito afu mbichi tuliarisha mno
Ahhh we bro maji flavour kuannza upyaa 😅😅Maji si yapo mkuu
Mkuu kama uko karibu na stationery naomba unitolee photocopy chapati 2.Yaani ni silaha kabisa, mwizi aniguse aone na chapati yangu namdunda nayo😀😀
Kwani wapish wa hoteli hawajao?We mtu anasukuma hadi chapati,hapa tutegemee kupata shemeji kweli au ndo ishatoka hiyo
I don't know🚶🚶🚶Kuna ubaya
Ile ni kazi mkuuKwani wapish wa hoteli hawajaoa?