I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Mwanaume bachela na unajua kupika hadi chapati Loh🤔Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783