Leo nikaona vyema kuandaa chakula hiki chepesi sana kupika
Kwanza nilianza kumenya viazi kama unavyo ona
View attachment 3211497
Niliacha vichuje maji vizuri baada ya kuosha then nika menya ndizi na kuweka kwenye maji ili zisiwe nyeusi
View attachment 3211501
Kabla ya hapo nili andaa nyama yangu mda kidogo nikaweka tangawizi,cumvi,limao na sosi
View attachment 3211517
Baada ya hapo nikaanda kachumbari yangu ya nyanya,kitunguu,karoti na hoho
View attachment 3211522
Baada ya hapo matunda niliandaa tango na papai tu
View attachment 3211527
Hivyo tu na chakula kikawa kizuri karibu sana KATAA NDOA KILA KITU KINAWEZEKANA