Tule mishikaki, ndizi, viazi,kachumbari na matunda

Kwa hiyo bro chipsi, ndizi na mishkaki...so jina unaitaje sasa?

Mwachiluwi Bro πŸ˜„
 
Napenda kula msosi niliouandaa ila shida ni kutumia muda mrefu kupika.
Nahangaika masaa kibao kwa msosi ninaokula mlo mmoja tu, aisee mama ntilie wanatuokoa sana.

Hapo mkuu umetumia muda gani hadi unakula huo msosi??
 
Nilianza saa kumi nika maliza saa moja
 
Aisee mimi kupika sawa,ila kuosha vyombo sasaπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…