Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

Hakuna chama Wala mgombea mwenye hati miliki na Jimbo lolote Tanzania Hilo ulijue
Hakuna chama Wala mgombea mwenye hati miliki na Jimbo lolote Tanzania Hilo ulijue
Nenda wewe YEHODAYA ukiwa unatokea au Iringa au Songea ukagombee Busokelo ndiyo utajua kuwa Ukabila makao yake makuu ni Rungwe na Kyela.

Sisi nimesema tuna wadada warembo wakutosha Mbeya Mjini, hatuwezi kuwakilishwa na Bii Kidude, sura kama yuko kilioni!!
 
Yaani kanadhani kameshakuwa star kufikia level za kugombea popote?
 
Ameyasema hayo alipokuwa anahojiwa katika kipindi cha East Africa Breakfast Leo kinachorushwa na kituo cha redio cha East Africa.

"Mwenyezi Mungu akitupa Uhai 2020 nitagombea, ila nitagombea wapi? naomba watulie kwa sababu chama chetu kina utaratibu wake ila nashukuru ninavyoonekana nina uwezo wa kugombea maeneo mengi."Naibu Spika @TuliaAckson

View attachment 1185297
Labda akagombee urembo
 
Ni haki yake kikatiba!

Sina hakika kama watu wa Mbeya wanawakubali wanawake kwa kiasi gani, maeneo mengine bado hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa kiongozi wao.
 
Siyo ubunge tu sema na urais ni baada ya miaka 5 tu
ni haki yake Tulia kugombea hakuna mwenye hati miliki na jimbo ndio maana hata Sugu alipata sababu aliyekuwepo hakuwa na hati miliki.Ubunge kikatiba ni miaka mitano baada ya hapo yeyote ana haki kugombea hakuna wa kujitunisha vimisuli kwa mkwara mbuzi kuwa mimi ndio nina hati miliki
 
Back
Top Bottom