Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

Hakuna chama Wala mgombea mwenye hati miliki na Jimbo lolote Tanzania Hilo ulijue
Hakuna chama Wala mgombea mwenye hati miliki na Jimbo lolote Tanzania Hilo ulijue
Nenda wewe YEHODAYA ukiwa unatokea au Iringa au Songea ukagombee Busokelo ndiyo utajua kuwa Ukabila makao yake makuu ni Rungwe na Kyela.

Sisi nimesema tuna wadada warembo wakutosha Mbeya Mjini, hatuwezi kuwakilishwa na Bii Kidude, sura kama yuko kilioni!!
 
Yaani kanadhani kameshakuwa star kufikia level za kugombea popote?
 
Labda akagombee urembo
 
Ni haki yake kikatiba!

Sina hakika kama watu wa Mbeya wanawakubali wanawake kwa kiasi gani, maeneo mengine bado hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa kiongozi wao.
 
Siyo ubunge tu sema na urais ni baada ya miaka 5 tu
 
Tulia ruksa kugombea hata mbeya mjini sababu jimbo litakuwa wazi na hakuna mwenye hati miliki nalo
Mbeya mjini tayari tunaye mbunge wetu wa kudumu mh sana Sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…