Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

Hongera kwa uamuzi huo, Dr kutegemea kudaka ni aibu!
 
Huyo ni puppet tu hana sifa ya kuwa mbunge mzuri, hawezi aka-reason independently.
Yeye na mwenzake Ndugai ni bure sana.
They're true sycophants and Magufuli's protégés.
 
Hata akianza kampeni mapema huyu haguswi. Angesema Nape au Januari, tayari sababu ya kuwakata ingekuwa imepatikana.
 
Hongera zake, Ni haki yake kikatiba ila aache kutoa mlungula kwa sasa asubiri wakati mwafaka wananchi wataamua kama wanamhitaji au lah
 
Labda aende akachukue jimbo linalomilikiwa na S.H.Amon kwa sasa, pale Tukuyu. Vinginevyo atatafuta vita na Sugu pale Mbeya mjini.
Hakuna haja ya vita waamuzi Ni wana mbeya.hakuna mwenye hati miliki ya jimbo wala nchi mkuu
 
Unafiki
 
Mbona anazidi kuisha..
Labuda atagombea u spika wa bunge
 
mbona jiwe hataki wengine wachukue form
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…