luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo waikiristo ni wastaarabu na waislamu ni tufahamishe tafadhaliAcha ujinga, we unaona alochokifamya ni sahihi, kwann achezee Iman za Watu. Tena wakristo wastaarabu angekumbana na waislam angechezea kichapa palepale, angejua hajui
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwahiyo waikiristo ni wastaarabu na waislamu ni tufahamishe tafadhali
Kuna waigizaji wametuma msalaba na jeneza kwenye filamu zao. Wakristo tuachane na ushupavu usio na maana ukristo ni matendo mema siyo alama.Tatizo la viongozi wa dini siyo jeneza Bali msalaba, lakini msalaba huo sidhani kama Kuna mtu ana hatimiliki nao. Msalaba ni alama tu, Haina maana kuwa ukiutetea kwa nguvu sana ndo unaonekana mkristo mahiri. Kuna wanamuziku wametuma misalaba na kuvaa misalaba huku maudhui ya nyimbo zao zikiwa zinatukuza ngono.
Kuna waigizaju wametuma msalaba na jeneza kwenye filamu zao. Wakristo tuachane na ushupavu usio na maana ukristo ni matendo mema siyo alama.
Viongozi wa dini ni zao la watanzania, ambao kwa asili ni waoga na wanafiki Kuna maovu na madhila mengi wananchi wanafanyiwa na vyombo vya serikali na hawasemi chochote. Wao ndo wa kwanza kujikusanya kwenye mwavuli wa kamati za amani. Na amani yenyewe ni pale serikali inapobanwa.
Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya jeneza au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita, vinginevyo nitawashangaa.
Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?
Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili). Ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, kulikoni?
Gwaji kachoka, anatafuta pa kunyenyukia tumeshamshitukia.Kuna waigizaji wametuma msalaba na jeneza kwenye filamu zao. Wakristo tuachane na ushupavu usio na maana ukristo ni matendo mema siyo alama.
Viongozi wa dini ni zao la watanzania, ambao kwa asili ni waoga na wanafiki Kuna maovu na madhila mengi wananchi wanafanyiwa na vyombo vya serikali na hawasemi chochote. Wao ndo wa kwanza kujikusanya kwenye mwavuli wa kamati za amani. Na amani yenyewe ni pale serikali inapobanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka ndani ya Ukristo wetu uumeingiliwa na wapiga dili, tuwe makini sana.Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?
Acha upotoshaji kwa siasa zenu uchwala. Viongozi wa kikristo wamelalamikia matumizi ya vitu vya kiimani kama msalaba na nguo za ibada na hata ibada yenyewe kwa kejeli. Hawakuzungumzia jeneza.Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya jeneza au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita, vinginevyo nitawashangaa.
Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?
Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili). Ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, kulikoni?
SwadaktaKuna waigizaji wametuma msalaba na jeneza kwenye filamu zao. Wakristo tuachane na ushupavu usio na maana ukristo ni matendo mema siyo alama.
Viongozi wa dini ni zao la watanzania, ambao kwa asili ni waoga na wanafiki Kuna maovu na madhila mengi wananchi wanafanyiwa na vyombo vya serikali na hawasemi chochote. Wao ndo wa kwanza kujikusanya kwenye mwavuli wa kamati za amani. Na amani yenyewe ni pale serikali inapobanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapotosha,kilaini hajazungumzia uwepo wa jeneza.Kilaini amekemea matumizi ya msalaba katika tukio lile la simba,kumbuka msalaba ni alama katika Ukristu.
Jeneza hata mpangani analitumia.
Wewe kipindi kile ungeweza? Acha upopoma
Askofu kilaini umemuonea...Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu ya jeneza au labda nifahamishwe kama watu hawa wameingia nchini Tanzania Wiki iliyopita, vinginevyo nitawashangaa.
Tulia Ackson katika harakati zake za kuusaka ubunge wa Mbeya Mjini, baada ya kutumwa na Magufuli alibeba majeneza na misalaba ya kila rangi kama Ishara ya kuizika CHADEMA. Alitembea Mbeya yote bila kificho chochote, mbona Kilaini na Gwajima walinyamaza?
Wakati huyu Tulia akifanya yote haya alikuwa Naibu wa Spika wa Bunge la Tanzania (sasa hivi ni spika kamili). Ni mtu aliyekuwa anajitambua, mbona hawa wacha Mungu hawakuwahi kukemea? Iweje leo mtu msela kama Tundaman akifanya aliyoyafanya Tulia wao wanapambana naye, kulikoni?
VyoteTuna man ni muislamu au ana jina la kiisilamu?
Hivi wana Kawe keshawapeleka kule nje?Gwaji kachoka, anatafuta pa kunyenyukia tumeshamshitukia.
Kwamba Tulia hakubeba msalaba ?Askofu kilaini umemuonea...
Hebu soma alichoandika kama ametaja jenezaView attachment 2321237View attachment 2321237