Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

Acha ujinga, we unaona alochokifamya ni sahihi, kwann achezee Iman za Watu. Tena wakristo wastaarabu angekumbana na waislam angechezea kichapa palepale, angejua hajui
Kwahiyo waikiristo ni wastaarabu na waislamu ni tufahamishe tafadhali
 
Tatizo la viongozi wa dini siyo jeneza Bali msalaba, lakini msalaba huo sidhani kama Kuna mtu ana hatimiliki nao. Msalaba ni alama tu, Haina maana kuwa ukiutetea kwa nguvu sana ndo unaonekana mkristo mahiri. Kuna wanamuziku wametuma misalaba na kuvaa misalaba huku maudhui ya nyimbo zao zikiwa zinatukuza ngono.

Kuna waigizaju wametuma msalaba na jeneza kwenye filamu zao. Wakristo tuachane na ushupavu usio na maana ukristo ni matendo mema siyo alama.

Viongozi wa dini ni zao la watanzania, ambao kwa asili ni waoga na wanafiki Kuna maovu na madhila mengi wananchi wanafanyiwa na vyombo vya serikali na hawasemi chochote. Wao ndo wa kwanza kujikusanya kwenye mwavuli wa kamati za amani. Na amani yenyewe ni pale serikali inapobanwa.
 
Kuna waigizaji wametuma msalaba na jeneza kwenye filamu zao. Wakristo tuachane na ushupavu usio na maana ukristo ni matendo mema siyo alama.

Viongozi wa dini ni zao la watanzania, ambao kwa asili ni waoga na wanafiki Kuna maovu na madhila mengi wananchi wanafanyiwa na vyombo vya serikali na hawasemi chochote. Wao ndo wa kwanza kujikusanya kwenye mwavuli wa kamati za amani. Na amani yenyewe ni pale serikali inapobanwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kipindi hicho walikuwa wakinwogopa yule alietangulia kwa kuumba
 
Gwaji Boy ni mchumia tumbo tu nani asiyemjua - mwizi wa Kura yule mchana mchana pale Kawe afu anapanda madhabahuni - hii si ni kejeli kubwa kuliko hata ile ya Tunda Man. Atuache wana Msimbazi - kwa raha zetu.
 
Gwaji kachoka, anatafuta pa kunyenyukia tumeshamshitukia.
 
kaka ndani ya Ukristo wetu uumeingiliwa na wapiga dili, tuwe makini sana.
 
Acha upotoshaji kwa siasa zenu uchwala. Viongozi wa kikristo wamelalamikia matumizi ya vitu vya kiimani kama msalaba na nguo za ibada na hata ibada yenyewe kwa kejeli. Hawakuzungumzia jeneza.
 
Swadakta
 
Hatuna viongozi wa dini ila tuna wanafiki wanaofanya kazi kwenye dini
 
Hii nchi watu wanapaswa kuwa na uhuru wa kuelezea mawazo yao bila kuingiliwa na dini.
Mnapotosha,kilaini hajazungumzia uwepo wa jeneza.Kilaini amekemea matumizi ya msalaba katika tukio lile la simba,kumbuka msalaba ni alama katika Ukristu.

Jeneza hata mpangani analitumia.
 
Askofu kilaini umemuonea...
Hebu soma alichoandika kama ametaja jeneza
 
two wrongs don't make a right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…