Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310

Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako CHADEMA?

Je, utaweza kuiba kura za wananchi wa Mbeya?

Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
 
CHADEMA ina nguvu sana Nyanda za juu kusini. Na siku zinavyozidi kwenda ndo inazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Waliotunga propaganda kuwa Chadema ni Chama cha kaskazini wamefeli vibaya sana kwa kweli.

Nina uhakika wa asilimia 99 kuwa Magufuli anaweza asipate hata kura 500 Nyanda za Juu kusini.
 
Chadema ina nguvu sana Nyanda za juu kusini. Na siku zinavyozidi kwenda ndo inazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Waliotunga propaganda kuwa Chadema ni Chama cha kaskazini wamefeli vibaya sana kwa kweli.

Nina uhakika wa asilimia 99 kuwa Magufuli anaweza asipate hata kura 500 Nyanda za Juu kusini.
Walishafeli eti chama cha wachaga. Wakati wabunge wake wako Mbeya, Tunduma, mara, singida na Dar es salaam
 
Vipi kale kaofisi mlikokachoma mlikua mnasafisha documents nn ah ah😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom