Sugu mwenyewe anawashangaa nyie mnaoongelea jimbo la mbeya mjini kupitia chadema.
Anajua kabisa hana chake na alishaanza kufungasha. Ni muda sasa alishaacha hadi kupost shughuli zake za ubunge zaidi ya kupost anacheza na watoto wake pamoja na picha za muziki.
Hata hotel yenyewe inaonekana inakufa kifo cha mende.
Kuonyesha alivyopagawa juzi kashikwa na polisi anaanza kumtaja Tulia. Ooh nyie mmebeba sana Tulia.
Sugu kachoka kachakaa. Huku hotel inazama shimoni bora hata angejenga english medium school, huku CRDB wanataka deni lao, huku ubunge unaondoka. Yaani kwa kifupi sugu lives matter.
Kuna wakati alianza kulia akisema kamkumbuka mama yake. Watu tukajua tu huyu ameshakiona kifo chake pamoja na madeni yanayomzunguka.
Umlilie mama wakati katika usanii wako wote hukuwahi hata kumtaja mama yako kwenye nyimbo, acha kumuimbia