gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Mkuu nyie ndio mnakaribisha watu waanze kumtusi hapa. Yaani we ukitumwa asset unaweza kuja na Tulia?Huyo Sugu alibahatika kipinfi kile cha CCM ronyaronya. Kipindi hiki asahau ubunge. Huyu Tulia ni among wanawake ambao ni asset jwa Tanzania, ni kichwa, mdomi, anajiamini, anauelewa wa hali ya juu ni presidential material. Kwa Taifa linalojielewa kama Tanzania lazima angaliwe kwa karibu huyu na kwa umakini wa hali ya juu Wengine tuligundua kipaji chake tangu bunge la katiba.
Angekuwa na uelewa unao usema angeweza kutambua kuwa hakubaliki hapo Mbeya. Mtu mwenye PhD unashindwaje kufanya tathmini ndogo kiasi hicho? Au ndio zile degree za chupi?
Eti presidential material [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kitendo cha Meko kuokota dodo basi ndio amewafanya muone urais ni jambo la kipuuzi namna hiyo?