Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

SUGU hana chake Mbeya mjini, narudia tena JOSPH MBILINYI hana chake Mbeya Mjini.

Tulia anaenda kushinda kwa kishindo kwa gharama yoyote ile.

Kama kuna mtu anamashaka na hilo aombe uzima tarehe 28/10/2020 aonw kitakachotokea.
 
Kwa mbeya hata bila kampeni sugu anashinda kwa kishindo, hapa penyewe tu napoishi mbeya mtaa wangu hata wazee wapo na sugu vijana hata wale waliopwa t shirt na kofia za tulia wanampigia kura tulia
Umeandika nini sasa
 
Mbeya Tulia anashinda tena mapema kabisa. tukutane october 28
 
Nawafagilia wote...Sugu na Tulia. Natamani kuwaona wote wanarudi mjengoni
 
SUGU hana chake Mbeya mjini, narudia tena JOSPH MBILINYI hana chake Mbeya Mjini.

Tulia anaenda kushinda kwa kishindo kwa gharama yoyote ile.

Kama kuna mtu anamashaka na hilo aombe uzima tarehe 28/10/2020 aonw kitakachotokea.
Damu itamwagika
 
Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako CHADEMA?

Je, utaweza kuiba kura za wananchi wa Mbeya?

Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
She's a failure... 2020 we're going with TAL
 
Labda atashinda kwa njaa lkn siyo kushinda ubunge kwa kura za wana mbeya nikiwemo na mimi.

Hilo sahau kabisa na kama ulikuwa unaota basi kanawe usoni kwa maji baridi.
Mimi naongea uharisia, wewe unaleta wishful thinking hivi ni vitu viwili tofauti.Subiri tarehe 28/10/2020 uone tunavyokwenda kukata ngebe.
 
Mwanangu unamkatisha tamaa yule bidada na nyimbo zake anacheza mziki kama vile anang'atwa na siafu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom