Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Jidanganyeni tu nyie CCM. Hakuna rangi mtaacha ona mwaka huuUpinzani hapo ndipo mnapokosea.
Hakuna wapiga kura hapo,hao vijana ni wavuta bangi hawatawasaidia chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganyeni tu nyie CCM. Hakuna rangi mtaacha ona mwaka huuUpinzani hapo ndipo mnapokosea.
Hakuna wapiga kura hapo,hao vijana ni wavuta bangi hawatawasaidia chochote.
Mwanangu unamkatisha tamaa yule bidada na nyimbo zake anacheza mziki kama vile anang'atwa na siafu.
2015 hao hao wavuta bangi walimvusha Sugu.Upinzani hapo ndipo mnapokosea.
Hakuna wapiga kura hapo,hao vijana ni wavuta bangi hawatawasaidia chochote.
Muda tu utaongea ndugu na ningekuwa nakujua ningerudi kukuuliza vipi cdm yako mbona hoiiiii
Mamluki eerr! Unajua ni mbunge gani wa kuchaguliwa wa bunge lililopita ambaye aliongoza kwa kupigiwa kura nyingi na wananchi Tanzania nzima?Hao ni mamluki twanashangilia tu lakini hawapigi kura mtaona tulia anavyochukua jimbo.
Dah, hatari. Huyu Lissi dawa yake tunayo. Nayo ni kumuengua tu asigombee. Tutazungumza na Jaji Kaijage!Na atashindwa vibaya hadi atajuta kilichompeleka Mbeya.
HIVI NDIVYO UTAKUWA UNATUANGALIA TUKISHANGILIA TULIA SIKU HIYOMamluki eerr! Unajua ni mbunge gani wa kuchaguliwa wa bunge lililopita ambaye aliongoza kwa kupigiwa kura nyingi na wananchi Tanzania nzima?
Basi kama hujui ni Sugu, kwa hiyo akili yako kuwa unaowaona hawapigi kura endelea nayo
Hatujui vzr wana mbeya bora angeenda vijijini huko hapa mjini alikosea kutega dishi lake...Hapendwi Mbeya period. Hata kwao Rungwe nako hawamtaki ndiyo wakamsukumiza Mbeya. Huku nako anagawa RUSHWA tu kwenye misiba . Hela zake wanakula na atashangaa
Kuona huoni basi ata kupapasa bhana ?Mkuu nyie ndio mnakaribisha watu waanze kumtusi hapa. Yaani we ukitumwa asset unaweza kuja na Tulia?
Angekuwa na uelewa unao usema angeweza kutambua kuwa hakubaliki hapo Mbeya. Mtu mwenye PhD unashindwaje kufanya tathmini ndogo kiasi hicho? Au ndio zile degree za chupi?
Eti presidential material [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kitendo cha Meko kuokota dodo basi ndio amewafanya muone urais ni jambo la kipuuzi namna hiyo?
Mwanangu unamkatisha tamaa yule bidada na nyimbo zake anacheza mziki kama vile anang'atwa na siafu.
Uchaguzi 2015 matokeo kwa mujibu wa takwimu rasmi za Tume : Jimbo la Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi wa Chadema, ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 97675, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Mwalyego Shitambala wa CCM, aliyepata kura 46894
Mwenye macho na masikio haambiwi "Ona na Sikia".Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako CHADEMA?
Je, utaweza kuiba kura za wananchi wa Mbeya?
Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
Sasa kwa yule utapapasa wapi labda?Kuona huoni basi ata kupapasa bhana ?
Kamanda unaweza kuwa una kapoint, ila utawezaje kufananisha Pera na Apple tuwe serious wakati mwengine, Sungu namuheshimu na namkubali ila Tulia yuko vizuri mno. kuthibitisha hilo angalia ata kwenye bunge Sungu alivokuwa akikalishwa na huyu mdada. Ukija kwa upande wa wapiga kura naingelea watu wanaojielewa wa Mbeya sio masela ambao hawapigi kura wao ni oya oya naongelea wale wapiga kura na wanaojua nini wanataka, mind you achilia mbali Phd holder pia ni mwanamke jasiri, unajua wanawake walivo wabinafsi linapokuja swala la jinsia.Sasa kwa yule utapapasa wapi labda?
Huyo Tulia alikuwa anamkalisha Sugu kivipi huko bungeni? Tulia ni alikuwa naibu spika na Sugu ni mbunge unawezaje kuwalinganisha kwa nafasi zao?Kamanda unaweza kuwa una kapoint, ila utawezaje kufananisha Pera na Apple tuwe serious wakati mwengine, Sungu namuheshimu na namkubali ila Tulia yuko vizuri mno. kuthibitisha hilo angalia ata kwenye bunge Sungu alivokuwa akikalishwa na huyu mdada. Ukija kwa upande wa wapiga kura naingelea watu wanaojielewa wa Mbeya sio masela ambao hawapigi kura wao ni oya oya naongelea wale wapiga kura na wanaojua nini wanataka, mind you achilia mbali Phd holder pia ni mwanamke jasiri, unajua wanawake walivo wabinafsi linapokuja swala la jinsia.