Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Ni kweli kabsa ila tunashangaa kuona mwl wa sheria hajui katiba ya nchi yake inatakanini kwa cheo alichonacho.
 
Kwani sio Sheria hiyo?
Haina maana kwamba ukichukua fomu ya kugombea nafasi nyingine umejiuzulu uliyokuwa nayo automatically?
Kisheria ameishajiuzulu sema tu hajaandika barua kwa katibu wa ccm ( siwanajiuzulu kupitia huko)
 
Kwann ajiuzulu baada ya kupitishwa na chama chake toa sababu kwann asisubiri aupate kabsa huo usipika?
 
Huyu si kapewa ubunge wa wazk wa kura na mwendazake.
 
Anapambana Kuhakikisha Kitumbua Chake Hakidondoki Wala Kuingia Mchanga, Kaweka Viti Vyote Akikosa Kimoja Aendelee Na Alichonacho

Ccm Wangembana Aachie Vyote Ndiyo Aombe
Tulia unadhani hajasoma sheria.
Mimi nilisoma Veta driving school,Dreva huwezi kanyaga kilachi huku nje unaweka kigogo gari isirudi nyuma
 
Tulia unadhani hajasoma sheria.
Mimi nilisoma Veta driving school,Dreva huwezi kanyaga kilachi huku nje unaweka kigogo gari isirudi nyuma
Haa Veta Ya Wapi Hiyo Kiongozi
 
Mpaka sasa hakuna mtu aliyechukua fomu za kugombea Uspika,fomu za kugombea Uspika zinatolewa na ofisi ya Bunge.
 
Tofautisha tamaa na maendeleo, usiporidhika na ulichonacho na kutaka vya wenzako hiyo ni tamaa sio maendeleo .
Hivi Dr. Tulia kipato anacho kipata kupitia Unaibu Spika halidhiki nacho? Kweli anatamaa
 
Mpaka sasa hakuna mtu aliyechukua fomu za kugombea Uspika,fomu za kugombea Uspika zinatolewa na ofisi ya Bunge.
Wanachukua za kuteuliwa na chama cha mapinduzi baadae wabadili uelekeo
 
Akili si ndio inatoa mwanga kwenye maarifa na weledi.
Huyo mwanamama hata sura yake inaonesha kuna uwezekano kuwa ana shida fulani ambayo haijapata jina bado.
CV yake ya kifamilia ikoje kwanza.
Ana Me?
Ana watoto?
Tuanzie hapo,yawezekana tunamjadili awe na hekima kumbe huku chini alishakudharau
 
We mzee !
Kachukue form
Unatuangusha

Ova
 
Haka dada kanajifanya kamesoma kumbe upumbavu tyuu, huyu kichaa Bora hata Ayubu, Tulia awe spika ?? Pumbavu Sana
 
Huyu mdada wa hovyo sana,Lkn na yeye huwa anafikiri anajua kiongozi.
 
Watu wana wivu sana na chuki mpaka unashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…