To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Kwema kabisa,namshukuru Munguā¦.nipe mbinu ya kuingia kwenye mfumo mkuuNamshukuru Mungu sijambo madam, mnaendeleaje ulipo?š

mfumo gani madame?šKwema kabisa,namshukuru Munguā¦.nipe mbinu ya kuingia kwenye mfumo mkuu
Kwahiyo unanikazia! šmfumo gani madame?š
nakaza nini tena madame na hatujafunga popote?šKwahiyo unanikazia! š
Mke wa Mtu hapaswi kupendwa?Mke wa mtu Mzee
Kuwa na furaha na kujifanya una furaha ni vitu viwili tofauti.
Genuinely happy people do not feel the need to constantly prove they are happy. Those faking it often overcompensate by oversharing or incessantly bragging on social media about being "blessed"!
Unajuaje kama anafuraha?
Umethibitishaje furaha yake?
Huyo bibi, katemwa uspika kimafia,alivhukua fomu badae wakamtumia sms kwamba asirudishe na ajitoe, mumewe kapigwa chini ewura kibabe! Furaha anaitoa wapi?
Hapo bado hajui, bimkubwa anampango gani nae! š
Mke wa Mtu hapaswi kupendwa?
NashukuruNilikuwa nakukumbusha tuu.
Unaweza ndio kumpenda kama Dadaako, Bibi, Mama au kiongozi
Au hata kumpenda kwa life style yake
Tulia hajaanza ku-post Leo wala Jana.
Ingekuwa sio mtu wa mtandaoni kabla ya kutemwa hoja yako ingepata nguvu.
Tulia wakati akiwa Spika alikuwa anafanya mambo ya kuimba na kucheza kama anavyofanya sasa. Kilichomzuia zaidi ni cheo chake.
Kutemwa kunaweza kumpa stress za Siku mbili tatu lakini kama yeye ni wale watu wa utamaduni wa kufurahi daima hiyo haiwezi kuwa sababu ya eye kutoendelea na maisha yake kanakwamba uspika alizaliwa nao
Mkuu, nimekuuliza umethibitishaje kama anafuraha?
šnakaza nini tena madame na hatujafunga popote?š
If youāre truly happy, youāll be happy even when no one is watching. Faked happiness comes when you know someone is (or will be) watching!Moja ya vitu huwezi Fake ni furaha hasa kwa muda mrefu
Furaha, upendo ni mambo ambayo hutaweza ku-fake kwa muda mrefu.
Na moja ya tabia za watu wenye furaha na upendo utaona kwenye sharing
Sharing ni sehemu ya Caring
Caring ni sehemu ya Upendo.
Watu wenye upendo hutamani ku-share Kila kitu kinachowafuhisha. Hiyo iko kisaikoloji.
Sasa kiwango cha akili ndio kitaamua nini na wakati upi wa ku-share
Hamjambo Walimwengu!
1. Kuna wale watu ambao hupotosha na kuwaweka watu under the Cage, kwamba mtu hatakiwi kujipost akiwa na furaha au akifurahia. Jambo ambalo sisi Watibeli tunapingana nalo kwa nguvu zote
2. Sio kwamba hatujui kwamba kuna watu wenye wivu, tunajua
Sio kwamba hatujui watu wabaya wenye husda na chuki. Tunajua.
3. Lakini Sisi Watibeli hatutishwi wala kuendeshwa wala kupangiwa na nguvu za giza, watu wenye nguvu hasi hawawezi kutuzuiia kufurahia na kuonyesha furaha zetu.
4. Tunajua tunaishi mara moja. Na safari hii ya maisha ni fupi.
5. Tulia Ackson pamoja na madhaifu yake lakini moja ya ubora wake ni kujua kuishi. Maisha ayapendayo to the fullest
6. Kuna Wakati hasimu wake walimfananisha na Kikatuni Fulani maarufu Kama RANGO. Na walimuita RANGO Moja ya Animation maarufu duniani.
7. Sikuwahi kujua mtazamo wake anapopitia maoni na watu kumuita RANGO. Lakini leo kapost Picha ya RANGO Mwenyewe.
8. Binafsi nilijikuta ninacheka, nimefurahi sana na imenipa mwanga anachukuliaje jina hilo.
Rango kimaudhui alipewa dhamana kubwa katika animation hiyo iliyosheheni sanaa na maudhui ya ukombozi.
9. Rango Kama Mtetezi wa wanyonge,
Rango kama mtatuzi wa changamoto za jamii. Ndio dhamira kuu mbili alizozibabe Rango katika filamu Ile.
10. Tulia Ackson life style yake watu wengi wanaipenda. Tatizo kubwa ni kuwa Wengi wapo under the Cage, wengi wamepotoshwa, wengi Wana fikira potofu.
11. Kwamba hutakiwi kujipost, hutakiwi kuonyesha furaha yako.
Hutakiwi kutoa maoni na kujieleza.
Kwa Sehemu kubwa watu wengi wanamitazamo hiyo.
12. Lakini waliombele ya wakati wanajua dhana na mitazamo hiyo ni potofu.
13. Watu kama Tulia husaidia kuonyesha njia pasipo na njia kwa kuwapa Uhuru wale ambao hutamani kufurahia maisha yao kwa kile kidogo walichonacho lakini wapo under za cage,
14. Nimeona pia baadhi ya Watumishi wakijipost wakifurahia maisha. Mamia ya watu huumizwa, hutukana, hulia. Kana kwamba kupost na kufurahia maisha ni dhambi au ni kuvunja Sheria.
15. Hii yote kitaalam inaonyesha bado watu wengi wanaukungu kwenye fikra zao. Wanamawazo hasi, wivu na chuki
16. Kutotaka kuona wengine wakifurahia maisha ni uchawi, NI husda na wengi wenye tabia hiyo hujikuta wakiwa na misongo ya mawazo, familia zisizo na furaha, kushindwa kimahusiano.
17. Nilimuona IPM na mkewe wakifurahia Maisha kama Familia. Wakileta Utani.
Mamia ya Watu walichukizwa na kulia, wakilalama, wakitukana.
Unajiuliza IPM na mkewe wamekosea wapi?
18. Unagundua ni Chuki, husda, mioyo yenye nguvu za Giza, broken people, Losers, walioshindwa, waliofeli.
Ndio wengi hujikuta hawapendi maendeleo n wengine wakifurahia.
19. Wengine wanasema ushamba, Mtu kujipost anafurahia maisha yake kwako unaona ushamba, ujanja kwako ni upi? Unagundua wengi wenye mitazamo ya kutotaka kuona wengine wanafurahia na kuonyesha mafanikio na furaha wengi ndio Washamba na wenye roho za kwa nini, watu wasio na shukrani, wasiojua Maisha ni kitu gani.
20. Hujamuibia mtu, hujamdhulumu mtu, hujala cha mtu. Kwa mini uhofie kufurahia maisha?
Ukiwa jizi, ukiwa mwovu unayohaki ya kujificha na kuchekelea chooni.
21. Lakini pia kama sio tabia yako, usizuie mkeo na watoto kama hauna sababu za msingi. Maisha ni hayahaya.
22. Privacy ipo kwenye njia za mafanikio, mipango, mbinu, lakini sio kwenye mafanikio yenyewe.
23. Utaficha mindinyo, style za chumbani, lakini Mimba na mtoto huwezi ficha.
24. Mwisho wenye chuki waendelee kuwa na chuki.
Wasiopenda wengine wakifurahia waendelee kukosa furaha.
Wenye husda na hasidi waendelee kuwa mkia wakiona wengine wakibarikiwa.
25. Siku zote Taa huwekwa juu ya kianga sio uvunguni.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa SASA Dar es salaam
Nimethibitisha kwa kuangalia maisha yake ya mtandaoni. Mambo anayoyafanya, body language yake,
Utulivu
Kuridhika
Hana fujo wala kurushiana maneno, kwamba anautulivu wa moyo.
Anachangamana na Watu bila drama.
Anakubali Utani na mitazamo ya walimwengu n.k
If youāre truly happy, youāll be happy even when no one is watching. Faked happiness comes when you know someone is (or will be) watching!

Weka na ile oicha yake aliyopiga USHUNGI kule Zanzibar. Ushungi wa kutafuta sympathy kwa MHESHIMIWA.