Tulia Ackson anaishi maisha ya furaha na haoni shida ku-share furaha yake. Ninapenda watu aina yake


Moja ya vitu huwezi Fake ni furaha hasa kwa muda mrefu
Furaha, upendo ni mambo ambayo hutaweza ku-fake kwa muda mrefu.

Na moja ya tabia za watu wenye furaha na upendo utaona kwenye sharing
Sharing ni sehemu ya Caring
Caring ni sehemu ya Upendo.

Watu wenye upendo hutamani ku-share Kila kitu kinachowafuhisha. Hiyo iko kisaikoloji.

Sasa kiwango cha akili ndio kitaamua nini na wakati upi wa ku-share
 

Tulia hajaanza ku-post Leo wala Jana.
Ingekuwa sio mtu wa mtandaoni kabla ya kutemwa hoja yako ingepata nguvu.

Tulia wakati akiwa Spika alikuwa anafanya mambo ya kuimba na kucheza kama anavyofanya sasa. Kilichomzuia zaidi ni cheo chake.

Kutemwa kunaweza kumpa stress za Siku mbili tatu lakini kama yeye ni wale watu wa utamaduni wa kufurahi daima hiyo haiwezi kuwa sababu ya eye kutoendelea na maisha yake kanakwamba uspika alizaliwa nao
 

Mkuu, nimekuuliza umethibitishaje kama anafuraha?
 
Mkuu, nimekuuliza umethibitishaje kama anafuraha?

Nimethibitisha kwa kuangalia maisha yake ya mtandaoni. Mambo anayoyafanya, body language yake,
Utulivu
Kuridhika
Hana fujo wala kurushiana maneno, kwamba anautulivu wa moyo.

Anachangamana na Watu bila drama.
Anakubali Utani na mitazamo ya walimwengu n.k
 
If you’re truly happy, you’ll be happy even when no one is watching. Faked happiness comes when you know someone is (or will be) watching!
 
 

Ok
 
If you’re truly happy, you’ll be happy even when no one is watching. Faked happiness comes when you know someone is (or will be) watching!

Na nikujuze tuu true happiness lazima iwe shared

Huwezi kufurahi mwenyewe.

Kuonyesha furaha ni nguzo ya furaha. Lakini haimaanishi kuringishia au kuwa na majivuno.

Furaha isiyoonyeshwa hiyo sio furaha ni adhabu.
 

Weka na ile oicha yake aliyopiga USHUNGI kule Zanzibar. Ushungi wa kutafuta sympathy kwa MHESHIMIWA.
 
If you’re truly happy, you’ll be happy even when no one is watching. Faked happiness comes when you know someone is (or will be) watching!

Zinaitwaga Furaha za kishetani.

Furaha sharti ionyeshwe na iwe shared.

Achana na propaganda za kishetani na mashetani wao ndio huwaweka watu under za cage na kupotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…