Tulia Ackson anaishi maisha ya furaha na haoni shida ku-share furaha yake. Ninapenda watu aina yake

True happiness itakuwa observed na wengine; haihitaji kuelezewa na mwenye furaha!

Mimi sasa si ndiye mwingine naielezea furaha ya Tulia Ackson,

Katika vitu huwezi ku-act ni furaha.
Kwani body language ikukataa tuu.

Unaweza kuigiza unacheka lakini sio kuwa na furaha.
 
Unahakika anayofuraha?
 
Kama analipwa stahiki zake zote +ulinzi usafiri nk
Kwanini asi enjoy....
Mwisho wa siko nchin malawi na africa kwa ujumla viongozi wanapata nafasi huwa wana wa enjoy sana wananchi na walipa kodi

Ova
 
Kama analipwa stahiki zake zote +ulinzi usafiri nk
Kwanini asi enjoy....
Mwisho wa siko nchin malawi na africa kwa ujumla viongozi wanapata nafasi huwa wana wa enjoy sana wananchi na walipa kodi

Ova

Ni kweli.
Lakini kuna Raha zaidi kupita na migari ya serikali na kupishwa Barbara kama mfalme.

Hata kama ni mfalme wa vikatuni. Mfalme ni mfalme
 
Siyo ukweli, happy people never share.their happiness
 
Ila analipwa na serikali mpaka kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…