Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Naunga mkono hoja.
Kuna watu tukiwaambia ukweli kuhusu CCM kutawala milele, hawaamini, na kwa vile maneno hayo ameyasema Tulia, bado kuna watu hawataamini hadi maneno hayo ya CCM kutawala milele Tanzania...
Kudumu Milele na milele
 
Brother nakubaliana sana na mchango wako.

Kwenye hili hakika kama taifa inabidi tuungane kulisemea.
 
Hii tz ni swala la muda tu. Hata kama itachukua miaka 100 ,tutakuja kuwa kama DRC ,Somalia, Sudan .Ngoja hiki kizazi cha waoga na wajinga kipite
Kulikuwa na kizazi cha kuthubutu ambacho kimepambana na mkoloni bila uwoga, kikaja kizazi chako hiki ambacho kina kula matundq ya jasho la wengine
 
P wewe kamwe hujawahi kubwa mzalendo,hutakiwa,na haita tokea,ikitokea zaidi uwe chawa mbobezi🤔
Uzalendo wa mtu unakaa ndani ya moyo wake, na ndani ya nafsi yake na sio lazima watu wengine wote waone!, ukijijua wewe ni mzalendo wa kweli wa taifa lako, unafarijika sana hata kama uzalendo huo ni wewe pekee unaujua!.
P
 
Kwa kumsaidia tu ni kwamba,Mama mwenyewe anapingana na sela na uendeshaji wa Chama chake
Hapo kwenye sela umetufunga kamba kamanda. Sio kweli usemache , sio Mara moja au mbili kumsikia Rais Samia 'mama' akisisitiza utekelezaji wa ilani na ilani ya CCM ndio inayotumika kuendesha mipango iliyopo.
 
Kunawatu wanakula hovyo vya haramu wanavimbiwa wanasahau kuwa yupo Mungu naye ndiye anayeamua nini kiwe na nini kisiwe...
Tuwapuuze maana wamepita shule lakini akili hawana!!!
Si wapo wengine walikuwa wanawapa vyeo vya mungu viongozi wao hao hao wa chama but mwingine juzi kafukuzwa kwa lugha nzuri tu, tena akiwa kiongozi wa dini.

Haya mambo ya siasa na (uchawa) ili kuonekana unakipigania na kukipenda chama si sahihi.

Baya lisemwe na zuri lisemwe pia, nahisi wanajua no Mungu ndiyo maana wanajipa uwezo!.
 
Miaka michache iliyopita Bashiru aliongea maneno karibia Kama haya.

Leo hii ukimsikiliza Bashiru utadhani Yuko upinzani.

Kuna maneno hupashwi kuyaongea ukiwa jukwaani.

Kombani alisema EL atakufa mapema. Haikumchukua muda akafa, akazikwa, Mtikila nae fasta tu nae akafa akazikwa.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson...
Huyu Spika Tulia Ackson, kiburi hicho anakipata toka wapi?

Yeye anadai kuwa CCM, haitaachia Kamwe madaraka waliyonayo!

Hii maana yake hata kama wananchi hawatakipigia kura, wao CCM ni LAZIMA waendelee kutawala!

Hiki ni kiburi kikubwa kinachotokana na nchi kuwa na Katiba mbovu!

Kama wananchi hatutaipigania Katiba mpya, mawazo kama ya akina Tulia, wapo wengi Sana huko CCM!
 
Ni kweli Kwa Katiba iliyopo na tume ya uchaguzi ya ajabu, CCM wataendelea kuwepo tu. A bitter truth ni kwamba kwa sasa Tanzania haina chama cha upinzani kilichopo kwaajili ya umma Bali kwa maslahi ya top Leaders Kama Mbowe, Zitto nk
Malizia kabisa kwa kusema 'na sisi wananchi wenyewe ni manyumbu bila Mbowe na Zito hakuna kitu tunaweza kufanya, pumbafu sana sisi'
 
Back
Top Bottom