Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Nimekupa likes ila kwa shingo upande

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chadema wakiviponda vya vyengine vya upinzani vionekane kuwa sio wapinzani wa kweli hutumika tu na ccm, nao Chadema ndio wapinzani wa kweli, hilo huwa sio shida.
 
CCM Kwa Tanzania yetu, ni kama Njemba inayommiliki mwanamke kimabavu. Anafanya mapenzi bila ridhaa yake, full kubakwa kila siku, akibisha makofi ya kutosha, mitama ,roba ya mbao huku akiwa amewekewa bastola kichwani. Haya bhana!
 
Amen
 
Amewapigia kule kule Zanzibar kwa Shoga yenu Mwasiti binti Jumaa!
 
"Maajabu ya dunia haya", wengi wetu wa Watanzania kweli bado akili zetu zinakuwa za Wadanganyika. Sisi Wadanganyika tunawategemea akina Mbowe, Lisu, Zito, na Vyama vya siasa vitukomboe tokana na janga hili la CCM kututawala milele! Ni sahihi sana kwa Tulia kuyasema hayo, yeye spika, baba DG!. Kama alivyonena "mzalendo" Pasco, kuwa ili CCM iweze kuondoka/kuachia madaraka ni lazima Newton's Law of motion itumike, ni sahihi na tamko la yule M6 aliyewauliza Wabarafu, kuwa " Du yu nou ze baiskos kota pini? Wabarafu wakasema " Yesi Saa" naye akawaeleza " Ifu Yu wanti tu remuvu ze olodi kota pini, Yu masti hama iti outi ende tu repulesi ze neu wani, oluso, Yu masti hama iti ini" ! M6 akamalizia kwa kusema " Hia aiemu" Kumbe pia "M6" alikuwa CCM kindakindaki kama alivyonena Pasco. Lakini, je, hii "external FORCE" na huyu "mungu wa milele" wa CCM ni marafiki?
Tafadhali wanaJf nipeni jibu. La sivyo sivyo, Wadanganyika wote tutakuwa tumelaaniwa na "mungu wa milele" wa CCM. Na laana hii, haitatutoka hadi kizazi cha "nne" na endapo hatutaitoa laana hii, basi, tuitoe kwa kuwaandikia kizazi hicho mistari ya maombi ya kuikana laana hii kwa nguvu za kutoka miyoni mwao na ikisukumwa na ROHO wa kweli toka kwa MUNGU wetu wa mbinguni aishiye milele tofauti sana na " mungu wa milele wa CCM"
 
Huyu manka angekomaa na kundi la mchicha kuanchana na asali maana asali ndo inayoliangusha. Team mchicha ijikite tu kuzalisha vitamin A asali waisahau tutawaheshimu
 

 
Angalia wanaoongoza siasa za upinzani ndio utaamini kabisa kuwa Tulia yuko sahihi kabisa.Hivi kweli siasa za maji taka za akina Lema ndio za kushika DOLA?siasa za kutegemea kabila moja ndio muwe na uwezo wa kutawala ?
Sijacomment siku nyingi kumbe wajinga Kama wewe bado mpo😂😂
 
Democratic party (USA)ilianzishwa 1828 na ikaja kuchukua Dola 1860..Kama waliweza hata hapa kwetu itakuja kutokea Wala sio mbali..umilele wanaosema ni maisha yao kabla hawajafa Kama Ndugu yule...
 
Dunia ina mwisho na ccm ina mwisho.

Swali jee wewe utaishi milele? ?
 
Uzalendo wa mtu unakaa ndani ya moyo wake, na ndani ya nafsi yake na sio lazima watu wengine wote waone!, ukijijua wewe ni mzalendo wa kweli wa taifa lako, unafarijika sana hata kama uzalendo huo ni wewe pekee unaujua!.
P
Mbona mlimpiga Lissu risasi kisa mkasema sio mzalendo? ?
Kama uzalendo uko moyoni mwa mtu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…