Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Kashindwaje mkuu ?Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Kashindwaje mkuu ?
Je hautaki pombe au hautaki chupa ? Au hautaki pombe na chupa?
hakuna mahusiano! Bado ni mbunge, na president wa IPU haina uhusiano na kuwa spikaTulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
View attachment 3500552
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Inawezekana wamefanya hivyo kumuokoa na kuandikwa vibaya huko nje.baada ya uchafuzi wa 29/10/2025 na hata usimamizi wake wa Bunge lililopitaTulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
View attachment 3500552
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki