Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Mie hata simwelewi kabisaTatizo la Tulia, ana roho ya uchawa sana. Hana msukumo binafsi wa kufanya jambo lolote.
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie hata simwelewi kabisaTatizo la Tulia, ana roho ya uchawa sana. Hana msukumo binafsi wa kufanya jambo lolote.
🤣🤣🤣
Hata yeye mwenyewe hajielewi kabisaMie hata simwelewi kabisa
Kweli kabisa ,Mbeya City na Prison hawako vizuri afanye mambo hata Kwa hongoTulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja.
Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako.
Hizi timu zikiteremka sio tu kwamba wana Mbeya tutahuzunika, ila hata wewe itakuathiri kwa namna moja ama nyingine.
Kumbuka ulipita Mbeya kimazabe, wananchi hawakukubali wala hawakuelewi, huu ndio ungekuwa muda wako wa kuwafanyia mambo wapenzi wa kandanda.
Kwanza kwa nafasi yako umeshindwa kuwa approach hata watengeneza pombe wazifadhili timu za jimbo lako?
BetinaHata yeye mwenyewe hajielewi kabisa
TrueKweli kabisa ,Mbeya City na Prison hawako vizuri afanye mambo hata Kwa hongo
Atumie mbinu za nje ya uwanjaKweli kabisa ,Mbeya City na Prison hawako vizuri afanye mambo hata Kwa hongo