Kweli? Mbona nyumbani ni tofauti?huyu mama ni genious sana aisee
Mbona kama ana jazba sana?Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.
Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.
Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .
So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja
mwenzio Lucas hampigii promo tenaAliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.
Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.
Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .
So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja
Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Kwa lipi?huyu mama ni genious sana aisee
Aaaaaa!Tena?🤔Huyu mama ni bogus!
Kimsingi sio kiongozi mzuri, na ameharibiwa na mazigira ya hapa kwetu kuwa ukiwa kiongozi hupaswi kuhojiwa na kuwajibika kutoa majibu stahiki. Tulia Akson ni mmoja wa watunga sheria mbovu hapa nchini. Na sababu hasa ya kuwa hivyo, ni udhaifu wake wa kibinadamu kupenda kunyenyekewa, ama kufurahia watu kuumia.Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.
Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.
Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .
So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja
Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Anaogelea kwenye kidimbwi cha maji machafu CCM. Akija kushtuka amezeeka na kutulia akichambua msusa.Ndiyo hao huanza kuomba msamaha na kujidai system iliwalazimisha kutenda dhulma.Kimsingi sio kiongozi mzuri, na ameharibiwa na mazigira ya hapa kwetu kuwa ukiwa kiongozi hupaswi kuhojiwa na kuwajibika kutoa majibu stahiki. Tulia Akson ni mmoja wa watunga sheria mbovu hapa nchini. Na sababu hasa ya kuwa hivyo, ni udhaifu wake wa kibinadamu kupenda kunyenyekewa, ama kufurahia watu kuumia.
kivipi ? wakati katekeleza maagizo ya task force Yao ,hebu sikiliza upyahuyu mama ni genious sana aisee
Punguza chukiHuyu mama ni bogus!