Ameshasema kuwa yeye ni mwanadamu na si mungu au malaika, hivyo atahukumika kwa tabia zote za kibinadamu. Yeye ni raisi wa IPU vipi anaulizwa maswali ya kutaka kumjua na si kutaka kujua?Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.
Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.
Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .
So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja
Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi