Tulia Ackson kwenye Bunge la Dunia amejibu maswali vema sana. Ila ni vema adhibiti 'emotions'

Tanzania viongozi wanaharibiwa na machawa. Kiongozi akihojiwa au kukosolewa machawa harakaharaka wanamzunguka kumtetea, kumjibia na kumwaattack aliye hoji au kukosoa. Hata haya mambo ya kutekana na kuuana katika siasa yanatokana na huo udhaifu wa kudhani kiongozi hapaswi kuhojiwa. Matokeo yake viongozi wetu wengi hawajajengwa kujibu hoja wanapanic na kuona mtu kuhoji ni kuku-undermine. Tulia amekuwa emotional kwa sababu hiyo. Kwa wenzetu kumhoji kiongozi ni mambo ya kawaida ndo maana wanauwezo wa kujibu hoja zinazoelekezwa kwao kwa utulivu bila kupanic.
Tulia yuko bright lakini ni kiongozi mwenye jazba ambayo wakati fulani huharibu hata performance yake, ndo maana hata bunge letu ameliharibu kwenye mijadala tunduizi kwa sababu hana emotional intelligence.
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Apewe maua yake kwa kuiheshimisha Tanzania huko IPU
 
Kweli? Mbona nyumbani ni tofauti?
Nyumbani wajinga wengi sana kiasi kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuheshimu kile alichonacho.

Nyumbani tunajiendea tu kiholela, uelewa wa masuala ya msingi ni mdogo na ni rahisi kwa jamii kutekwa na hisia fulani hata kama hazina ukweli wowote.
 
Nadhani Tulia alijisahau akadhani yuko kwenye Bunge la akina Musukuma na Lusinde, aka panic na kutoa povu

All in all akasome course ya conflict resolution ili imuongezee uwanda wa uelewa namna ya ku handle geopolitics
View attachment 3126251
Hizo taasisi kubwa siku zote huwa na wapuuzi wa Ulaya wenye kudhani kiongozi mweusi ni wa kumpelekesha tu.

Lithuania ni nchi moja ndogo tu, imechoka sawa na nchi nyingi za kiafrika, lakini kwa sababu ipo ulaya mwakilishi wake anadhani anayo haki ya msingi ya kumletea nyodo Dr Tulia.

Majibu ni mazuri kulingana na nia za siri za wauliza maswali, ilikuwa ni aina fulani ya kutaka kumtetemesha (bullying) wamekutana na chuma.
 
Huu ni uongo kachemka tena sana. Mmezoea bunge bubu la fisiem.
All the best
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Mbona alipaniki sana.
 
Uchawi upo, nani alimchagua huko duniani? Hawa mabeberu kuna kitu wanatafuta Tanzania na wanajua ukitaka kula vya kipofu.
 
Acheni kumfundisha mtu namna ya kuongea sasa kama mtu kawajibu hawaelewi kajieleza bado hawaelewi ulitaka aendelee kuwachekea? Ni lazima uwaoneshe umekasirika maana unafiki sio mzuri ndio umetufikisha hapa tulipo kama taifa, yaani mtu umekasirishwa halafu ucheke cheke ili iweje? Dr. Tulia katuheshimisha watanzani na Africa kwa ujumla, siku nyingine watamuuliza maswali kwa adabu. Hongera sana Dr. Nimeelewa kwa nini JPM alikupa ubunge. Sisi tusiopenda unafiki tunakupongeza sana kuna watu humu huwa wanawaona wazungu ni kama miungu yao hawakosei na wala hawafai kufokewa wao nikujikomba komba tu kwao.
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Mimi nimefurahi alivyoonyesha kukerekwa kwa kweli nimefurah sana kwa kuwa hili swali alishalijibu zaidi ya mara tatu tena humo humo sasa anashangaa mara nne anaulizwa na amepigiwa makosi sana kuonyesha wamekubali maelezo, huwezi kuukiza swali moja mara nne na lengo najua lilikuwa ajichanganye maelezo ili wapate pa kumkaba sasa wamwlemkuta yuko makini na maelezo ni yaleyale hayana zigzag hapa nampa maua yake sana tu,alianza kwanza kwenda ukraine lkn hawakuwepo wkt huo rais alikuwa na kikao ulaya ikabidi aende russia sasa ubaya uko wap .
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Tulia ana very low self esteam …emotional intelligence ndogo….amejibu vyema lakini kama kawaida very emotional kama anataka kulia utasema anaongea na kina halima mdee
 
Nilichogundua kwenye hili la Tulia Ackson ni kuwa wabongo wana akili nyepesi sana.
 
Wangemuuliza na sababu ya kukataa kujadili masuala ya utekaji Tanzania Kwa
Weeeeee angevua nguo juu ya meza alafu amuite huyu mwakilishi wa Ukraine alete maji kwenye ndooo aoge mbele za watu🤣🤣🤣
 
Watz sijui ni lini tutaachana kusifu speech maneno na mapozi ya watu badala ya kujikita kwenye utendaji na tija ya utumishi uliotukuka wa kiongozi!!

Hivi kiingereza kizuri Cha kiongozi akiongea kina saidia uchumi kukua kwa asilimia ngapi!!?

Kwa muda mrefu tumekua na haka katabia na hakatusaidii chochote zaidi ya kulea mafisadi na wazembe!!
 
Tulia ana very low self esteam …emotional intelligence ndogo….amejibu vyema lakini kama kawaida very emotional kama anataka kulia utasema anaongea na kina halima mdee
Bwana Mikael hakika unajua kumsoma mtu. Ni kweli amejibu kwa kulalamika ambapo yeye alitakiwa kujibu kwa utulivu na bila kuonyesha kukereka.
Kwa nafasi ya kiti chake anatakiwa kuwa mtulivu sana bila kujali aina ya maswali na hoja zinazoelekezwa kwake
 
Acheni kumfundisha mtu namna ya kuongea sasa kama mtu kawajibu hawaelewi kajieleza bado hawaelewi ulitaka aendelee kuwachekea? Ni lazima uwaoneshe umekasirika maana unafiki sio mzuri ndio umetufikisha hapa tulipo kama taifa, yaani mtu umekasirishwa halafu ucheke cheke ili iweje? Dr. Tulia katuheshimisha watanzani na Africa kwa ujumla, siku nyingine watamuuliza maswali kwa adabu. Hongera sana Dr. Nimeelewa kwa nini JPM alikupa ubunge. Sisi tusiopenda unafiki tunakupongeza sana kuna watu humu huwa wanawaona wazungu ni kama miungu yao hawakosei na wala hawafai kufokewa wao nikujikomba komba tu kwao.
Angalia na wewe ulivyo comment kwa panic na muhemko. Mna hoja nzuri sana lakini mnaziwasilisha kwa Makasiriko.
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
KIBURI, amezoea kuwafokea CHADEMA, hao ni magharibi mkuu.. subiri soon atapigwa pini.
 
Back
Top Bottom