Tulia Ackson kwenye Bunge la Dunia amejibu maswali vema sana. Ila ni vema adhibiti 'emotions'

Ameshasema kuwa yeye ni mwanadamu na si mungu au malaika, hivyo atahukumika kwa tabia zote za kibinadamu. Yeye ni raisi wa IPU vipi anaulizwa maswali ya kutaka kumjua na si kutaka kujua?
 
Nadhani Tulia alijisahau akadhani yuko kwenye Bunge la akina Musukuma na Lusinde, aka panic na kutoa povu

All in all akasome course ya conflict resolution ili imuongezee uwanda wa uelewa namna ya ku handle geopolitics
Your browser is not able to display this video.
 
bili tabasamu nadhani ndo chanzo
 

Attachments

  • Screenshot 2024-07-12 093045.png
    551.5 KB · Views: 4
Naunga mkono.

Tulia hana Emotional Quotient (EQ) au wengine wanaita Emotional Intelligence (EI), alipanic japo alikuwa na majibu yenye mantiki.

Inabidi viongozi wetu wafundishwe namna ya kuthibiti hasira na hisia zao wanapokutana na changamoto toka kwa watu wenye kuwachallenge
 
Shida hawajajenga mazoea ya kujibu hoja hapa nyumbani, wanahisi mtu akikuhoji ana kuchallenge hence they take it personal.

Kumbe ukishakua kiongozi wa umma una wajibika kwa maneno na matendo yako mbele ya raia
 
Sahihi sn hapo
 
Mbaya zaidi hizo skills haufundishwi, ila una develop as you practice leadership. Tatizo huku kwetu wamejitwika ufalme, hawataki kuhojiwa kuhusu mambo kaza wa kaza kwa mustakabali wa nchi.

Mwisho wake, wakifika level kama hizo ambazo ni lazima uhojiwe wanaanza kutia huruma.

So sad.
 
Viongozi wetu wanapenda kuabudiwa na kuwa miungu watu. Huko duniani hiyo luxury haipo wanaipata hapa nchini tu.

Kwa aina ya viongozi tulio nao kwa sasa, sijui lini tutapa tena viongozi wenye calibre ya Dr. William Shija, Dr. Salim A. Salim, Hashim Mbita, Daudi Mwakawago au Fulgence Kazaura
 
Unalijua Bunge la Dunia wewe lakini?
 
Nimependa kizungu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…