DuhNdiyo maana anapokea mkong'oto huko kuzimu
Noma kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwendazake ni nani??...Askofu Malasusa hukumsikia?
Sasa mtafurahi wenyewe, Tulia anakwenda kuwa Madam Spika.Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa.
Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya Jimbo la Mbeya.