Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnavyo lipigia promo hilo la ushoga kijanja maana kulituliaHakika nimeshangazwa sana na BUNGE kutumia MUDA mwingi Kujadili USHOGA badala ya KUJADILI TATIZO KUBWA la UPOTEVU wa MABILIONI ya FEDHA za UMMA kama zilivyobainishwa na REPORT ya CAG.
Suala la USHOGA ni ZITO badala ya BUNGE Kulijadili lingeweza kuwafikia WANANCHI wengi na Wa RIKA Mbalimbali kupitia VIPINDI mbalimbali ktk Televisheni RADIO na MAGAZETI pia MAKALA na VIPEPERUSHI kama ilivyofanyika kuwaelimisha WANANCHI kuhusu MAJANGA ya Magonjwa Mbalimbali kama vile UKIMWI COVID-19 n.k NJIA hizo zingewafikia WANANCHI wengi sana na Sehemu mbalimbali Kuliko Majadilioni ya WABUNGE BUNGENI.
JANGA la USHOGA lingefaa likafundishwa MASHULENI ili kuwapa UELEWA wanafunzi wengi kwani nako ni CHANZO
Tuwatake WABUNGE warudi kwenye MJADALA MZITO na MUHIMU wa REPORT ya CAG kwani WANANCHI wenye FEDHA ZAO wana hamu kubwa ya Kujua HATIMA ya Waliotajwa kwenye REPORT ya CAG.
Kwenye hizo kamati na wao wamo walikula mafungu yaoMkuu, Mbunge anasimama na kutetea hoja ya CAG isijadiliwe kwa sababu wanaongozwa kwa Mujibu wa Sheria!! Sasa ukiwauliza hao COVID 19 wapo kwa mujibu wa Sheria? Hapo hupati jibu asilani-abadani.
Wenyewe walishakula percentage yao hivyo lazima utetezi uwepoHilo la ushoga ni staili ya kuzima moto wa CAG
Fisiemu ni wezi kama wezi wengine ni kwa vile kinga yao ni dola tu.Hakika nimeshangazwa sana na BUNGE kutumia MUDA mwingi Kujadili USHOGA badala ya KUJADILI TATIZO KUBWA la UPOTEVU wa MABILIONI ya FEDHA za UMMA kama zilivyobainishwa na REPORT ya CAG.
Suala la USHOGA ni ZITO badala ya BUNGE Kulijadili lingeweza kuwafikia WANANCHI wengi na Wa RIKA Mbalimbali kupitia VIPINDI mbalimbali ktk Televisheni RADIO na MAGAZETI pia MAKALA na VIPEPERUSHI kama ilivyofanyika kuwaelimisha WANANCHI kuhusu MAJANGA ya Magonjwa Mbalimbali kama vile UKIMWI COVID-19 n.k NJIA hizo zingewafikia WANANCHI wengi sana na Sehemu mbalimbali Kuliko Majadilioni ya WABUNGE BUNGENI.
JANGA la USHOGA lingefaa likafundishwa MASHULENI ili kuwapa UELEWA wanafunzi wengi kwani nako ni CHANZO
Tuwatake WABUNGE warudi kwenye MJADALA MZITO na MUHIMU wa REPORT ya CAG kwani WANANCHI wenye FEDHA ZAO wana hamu kubwa ya Kujua HATIMA ya Waliotajwa kwenye REPORT ya CAG.
Acha kelele, ushoga ni upumbavu unaopaswa kupingwa kwa nguvu zote kabla ya hayo unayoyataja.Shoga hana athari hata kidogo kwenye upigaji na wizi wa fedha za kodi na mikopo.
Sijawahi kusikia Shoga katuibia Matrilioni ya fedha za Barabara.
Kwanini Shoga anakuwa scapegoat badala ya kuwaadhibu wezi wa CCM
Wewe unakuathirije?Acha kelele, ushoga ni upumbavu unaopaswa kupingwa kwa nguvu zote kabla ya hayo unayoyataja.
Kweli wanasiasa wanajua jinsi ya kucheza na mwananchi rofa!!yaani kuna matatizo chungu mzima yanayowaathiri(ufisadi) kila leo,ambayo mkiamua tu kwa nguvu moja yanapungua sana,na maisha yana boreka,mnakimbilia kitu ambacho kwanza ni kigumu kikimaliza,pili hakina madhara ya moja kwa moja kwako!!kwani chanzo ni jamii yenyewe,huenda hata ni ndani ya familia zetu,.Acheni kufuata upepo komaeni na RUSHWA/UFISADI ndio kitisho kikubwa sana.safi, sheria itute meno tuhangaike na haya ma bwabwa mitaani, msako utakuwa nyumba kwa nyuma tunaanzia mikoa vinara Dar es salaam, Tanga, Zanzibar mabwabwa yote kaeni mkao wa kula tunakuja.
Usishangae, hao ndio wabunge wa CCM wanatengeneza hoja kuwa mama Samia ndiye kaleta sheria kudhibiti ushoga, wakati sheria ipo tangu kabla ya Uhuru.
Hakuna sheria ya kudhibiti ushoga na kama ingekuwepo basi ma Imam na Masheikh wengi wangekamatwa sana.
Ndio michezo yao nini?Hakuna sheria ya kudhibiti ushoga na kama ingekuwepo basi ma Imam na Masheikh wengi wangekamatwa sana.
Ni mambo ya sunnah mkuu. Unatembea na mavi ya mpenzi wako yaliyochanganywa na ubani kwenye kibiriti au mkebe, ukimkumbuka unanusa kinyesi cha mpenzi na kupiga chafya.Ndio michezo yao nini?