Tulia Ackson: Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.

Ratiba:
  1. Dua
  2. Hati za kuwasilisha Bungeni
  3. Maswali

Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.

Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.
 
Hivi hawa watu hii DUA wanaomba kwa Mola kwedli au?
Ogopa sana mtu akisema mungu wangu

Wewe unadhani mungu wake ni Sawa na wako Kuna. Miungu mingi

Hata huko mjengoni huenda Wana mungu wao tofauti na unayemjua
 
Huko bungeni tunataka watupe majibu...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Kwani hawatoi mapema hoja za msingi za kujadili, ukiachilia mbali maswali na majibu!
 
Haitamwondolea lawama za kupitisha mkataba wa DP
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.

Ratiba:
  1. Dua
  2. Hati za kuwasilisha Bungeni
  3. Maswali

Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.

Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.

Pumbafu zenu mwanangu kajitolea hadi kakata tamaa kaondoka ndio mnaleta sheria. Tulishauri miaka mitano imepita serikali na mashirika yake waache unyonyaji wa nguvu kazi ya vijana kama wanavyofanya sekta binafsi kwa kisingizio eti nafasi za kazi hakuna. Mtu anatumika kwa ufanisi zaidi ya miaka mitatu badala ya kumuajiri anapewa mtu katoka chuo juzi. Sio haki.
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.

Ratiba:
  1. Dua
  2. Hati za kuwasilisha Bungeni
  3. Maswali

Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.

Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.

Sio rahisi mtu mwenye G.P.A ya 4.2 kuachwa ili mzoefu mwenye G.P.A ya 2.2 aajiriwe.
 
Huko bungeni tunataka watupe majibu...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Majibu ulishapewa kuwa wao wenyewe walipitisha kitu ambacho hata wao hawakijui
 
Pumbafu zenu mwanangu kajitolea hadi kakata tamaa kaondoka ndio mnaleta sheria. Tulishauri miaka mitano imepita serikali na mashirika yake waache unyonyaji wa nguvu kazi ya vijana kama wanavyofanya sekta binafsi kwa kisingizio eti nafasi za kazi hakuna. Mtu anatumika kwa ufanisi zaidi miaka mitatu badala ya kumuajiri anapewa mtu katoka chuo juzi. Sio haki.
Upo sahihi sn
 
Kujitolea ni ujinga serikali inataguta mlango wa cheap labor.
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.

Ratiba:
  1. Dua
  2. Hati za kuwasilisha Bungeni
  3. Maswali

Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.

Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.

nilishindwa kujitolea kwa sababu mimi ndie nilikuwa tegemeo kubwa...unatoka kujitolea huko huna hata mia mbovu, mama yangu ananililia shida kama zote, nikaona siwezi, nikaenda zangu kuomba kibarua cha ulinzi, huko nako nikapatwa na balaa
 
Sio rahisi mtu mwenye G.P.A ya 4.2 kuachwa ili mzoefu mwenye G.P.A ya 2.2 aajiriwe.
Kwanza kilaza fomufoo felia anakuja anajifanya anajua kazi kuliko mie senior 🤣🤣
Wataendelea kutubebea mikoba tu
Hawana nidhamu,hawaajiriki
Watajitolea Hadi wanakufwaa
 
Back
Top Bottom