Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hapa nimegundua kuwa rais wa JMT kwa upande wa zanzibar anabakiwa na jukumu moja tu, nalo ni amirijeshi mkuuTulia AJIUZULU TU
Zanzibar ina wakuu wawili wa nchi?!Mkuu wa nchi ya Tanzania hayuko limited Zanzibar Bali mkuu wa nchi ya Zanzibar yuko limited Tanzania bara.
Mawazo mgando haya.Katiba ni kikikaratasi tu.
Siku ukilijua hilo utakuwa umefikia umri wa "maturity" na utaacha kuwa mjinga.
Rais wa Zanzibar yupo kisiasa tu. Ni kama RC aliechangamka tu.
Andamana ukamtoe Mbowe jela.Mawazo mgando haya.
akikujibu nistueZanzibar ina wakuu wawili wa nchi?!
Hata kwenye ishu ya majeshi, Rais wa Zanzibar ana amri ya mwisho juu ya vikosi vya SMZ.Hapa nimegundua kuwa rais wa JMT kwa upande wa zanzibar anabakiwa na jukumu moja tu, nalo ni amirijeshi mkuu
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Atatoka tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu kama Mandela alikaa jela zaidi ya miaka ishirini Mbowe ni nani?Andamana ukamtoe Mbowe jela.
Kwa hiyo Mandela alipata nini?Atatoka tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu kama Mandela alikaa jela zaidi ya miaka ishirini Mbowe ni nani?
Hotuba ya Tulia ilikuwa kujipigie debe ili apate uspika. Hakuongea kama muwania kiti cha mhimili unaotakiwa kujitegemea kikatiba.Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi...
Itoshe kusema hivyo Zanzibar wanamtambua Rais wa Tanzania bara km rais wao na rais wa Zanzibar km rais wa visiwani.Zanzibar ina wakuu wawili wa nchi?!
Kwa hiyo jeshi la kutoka bara huko visiwani huwa linaletwa na nani ?Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi.
Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar...
Wa Zanzibar si Amiri.Hana majeshi nikama monita tu.Zanzibar ina wakuu wawili wa nchi?!
Kwa Zanzibar nani mkuu wa nchi?Itoshe kusema hivyo Zanzibar wanamtambua Rais wa Tanzania bara km rais wao na rais wa Zanzibar km rais wa visiwani.