Uchaguzi 2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

kwaiyo tulia atulie kwanza eti
 
Ndo maana tunaona hizi degree ni feki ,mwingine hajui hata english ,huyu ni naibu spika na hajui kazi ya mbunge ,halafu ni DR.

CCM kuna vilaza wengi
Mwenyekiti kasema nimewaletea mwanamama,anaomba wana wa Mbeya wampelekee Bungeni!Baada ya kujimilikisha Serikali na Mahakama,sasa hivi juhudi kubwa inafanyika kumiliki Bunge rasmi kwa kuwapeleka watu wake majimboni ili Lengo kuu litimie.
Watanzania tushtuke,Hutu Mzee amebakiza vichache sana kujibinafsishia Tanzania mazima.Kura yako ndiyo silaha ya kuepusha hilo,kazi kwetu!
 
Huyo Tulia hata haijui siasa, anasubiri kubebwa tu, halafu wakiambiwa wanabebwa na Tume na polisi wanakuwa wakali, naamini hata yeye anajua wazi hawezi kushinda Mbeya Mjini.
 
Tulia kwa uchaguzi huu katumia nguvu nyingi,pesa nyingi ,ila nilisema mapema hum hata kabla ya kuchukua form ,tulia hawezi shinda mbeya labda kwa njia zingine ila kwa Kura za wananchi hawezi,
 
Ndio hapo sasa mtu mwenyewe mweusi kama mkaa

Ina maana kwa hotuba ya jana hatateuliwa wala hatasikilizwa? ukweli Tulia hahupaswa kuomba kura kishamba namna hiyo tena kwa watu wa jimbo la mjini MBEYA ambao tunaamini wengi ni wasomi ambao somo la uraia wanalijua vyema sio kama wapiga kura wa ulenje au mwakaleli ambao labda ndio wanahitaji approach za hivyo
 
Tulia kwa uchaguzi huu katumia nguvu nyingi,pesa nyingi ,ila nilisema mapema hum hata kabla ya kuchukua form ,tulia hawezi shinda mbeya labda kwa njia zingine ila kwa Kura za wananchi hawezi,

Ukweli huu ulioutoa kwa huyo binti Tulia ndio ukweli kwa wagombea wengi wa CCM wasiokubalika lakini wameingizwa kwa kutumia nguvu kubwa wakiamini kuwa liwake jua au mvua inyeshe wao watabebwa kwa namna yoyote ile na wataingia Bungeni

Sasa matokeo ya hawa wagombea waliohakikishiwa kitonga hiyo ndio wanakuja kwa wanainchi wakiwa hawajajipanga watumie njia zipi kuomba na kushawishi wapiga kura bali wanakuja na vitisho vile vile kwamba wasipochaguliwa hawatapelekewa maendeleo,

Naamini tukifuatilia kauli za waheshimiwa walioteuliwa kugombea ndani ya CCM kwa mtindo waliotumia kama wa kumteua Tulia basi lazima utakutana na kauli za vitisho vitisho nyingi tu
 
Tulia mbunge wetu
 

Attachments

  • IMG-20201009-WA0003.jpg
    39.5 KB · Views: 2
  • IMG-20201009-WA0003.jpg
    39.5 KB · Views: 2
Accounting officer wa hela za tanzania ni nani? Kwa kukusaidia ni Rais
Siyo zake, ni za wananchi ambao ndiyo chanzo cha mamlaka. Na matumizi yanapaswa kutokana na maelekezo ya Bunge, siyo rais na mpwa wake
 
FINISH HER

F A T A L I T Y
 
Hicho kibibi betina usikute hata hiyo phd alihongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…